Habarini za muda huu wanajukwaa
Kumekuwa na sintofahamu kubwa katika hizi siku chache ambapo madogo wa diploma wakikaribia kufungua vyuo vyao na tarehe tajwa ni 17/10/2022
Kimbembe kinakuja...
Jamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata
gs-E
history-D
geo-C
economy-D
Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
Jmni naombeni mnisaidie kujua shule za msingi zinazopatikana mkoa wa MBEYA zenye BOARDING, na zenye ADA nafuu kama utakuwa wazijui[emoji1545][emoji1545]
Mambo vipi Wana Jf. Hawa loan board juzi kati hapa walitupa ujumbe kwenye account zetu ikiwa umepatia kuomba mkopo au umekosea.
Kwa walio kosea walihitajika kufanya marekebisho, lakin hizo...
Wakuu vipi Kozi nzuri zaid apa
BaEd (Chinese & English lg) versus Bachelor in Urban Development and Environment management..
Mawazo yenu yanahitajika...
Wadau
Habari Wana Jf
Mim Ni Student Wa A Level Form 5 Naingia 6.Nasoma HGL, malengo yangu ni kusoma Public Administration UDSM next year.
Naombeni Mnipe Mwongozo Juu Ya Malengo Yang Coz I Admire It So...
Salam wakuu
Nina project kwenye eneo hilo nahitaji mwenye elimu hiyo tutete. Njoo PM only for the qualified one nje ya hapo usipoteze muda ni swala serious. Mwenye uzoefu wa miaka 2 kwenye ajira...
Mimi ni kijana wa miaka 21 nipo Mkoani Mara, nimemaliza form four(4) mwaka 2018 na kufaulu Ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto ya ada nikawa nafanya tu vibarua ndogondogo...
Jamani matokeo yametoka, kati ya wanafunzi 500+ walio clear masomo yote ni 22!
Hapa kuna tatizo na si weak students kama mtu anavyoweza kudhani. Kuna tatizo katika teaching and examining/exam set up!.
Ni nini kinaifanya hii shule ya sheria pale mawasiliano kuwa ngumu sana kuimaliza il hali wanafunzi wanaosoma pale inakua kama wanarudia tu waliyosoma undergraduate? Ni ukiritimba waalimu...
Wanazengo habari za wakati huu
Naomba kuulizia kwa anayefahamu shule nzuri ya kutwa (English Medium) kwa mtoto (miaka 5-10) maeneo karibu na Mwana Nyamala, anisaidie kunipa jina la shule pamoja...
Habarini za majukumu wapendwa na hongereni kwa kazi.
Mimi nina mtoto wa kike ana umri wa miaka 6 lakini mpka sasa haongei vizuri, ni neno moja moja sana napo ni kwa kujitahidi hivyo hivyo...
Nimechaguliwa mzumbe ,Naombeni ushauri wenu ,Je katika kozi hiyo,ni upande gani ambao katika ajira zake inalipa,katika ishu ya fedha(mshahara).
Mapondo myaweke pembeni
Habari wana JF? By make a story short, let jump to the topic. Mimi kitu ambacho sintoweza sahau ni pale mshikaji (Hassan) alikuwa akichungulia majibu kwa jamaa (Boni) wa pembeni alipo mchania...
Android Studio 4.1 Development Essentials - Kotlin Edition: Developing Android 11 Apps Using Android Studio 4.1, Kotlin and Android Jetpack
Book by Neil Smith
Wakuu kwa yeyote anaeweza nisaidia...
Wakuu nimepata fursa ya biashara ya kuuza Mkaa katika nchi wanazozungumza Kiarabu Egypt, Oman, Bahrain, Kingdom of Saudi Arabia, UAE na Qatar. Ili kurahisisha mawasiliano nimeona nijifunze lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.