Habar zenu humu ndani ndugu wa jf jukwaa letu pendwa!! Nimepata mkopo lkn ada wamenipa laki 5 kati mil 1.3 naomba ushauri wenu nifanye nn ndugu zangu!
Natanguliza shukran zangu za dhati kwa kila...
Wandugu, Nina jamaa yangu yuko ofisini Kama mwalimu wa shule ya Sekondari ya Kata somewhere in Mtwara region!
Anatoa huduma ya ufundishaji wa Chemistry na Biology!
Amepatwa na tamaa ya kuchukua...
Ni kitu gani kitamsaidia mtoto kujifunza kingereza,je awe anaangalia tamthilia za kingereza zilizotafsiliwa,kusoma hadithi za kingereza au kuangalia katuni? Naomba pia kujua kama kuna kifaa...
Somo hapo juu lahusika
Naomba kujua kama kuna chuo kilishawahi kubadilisha Kozi Iliyodahili awali na mwaka wa pili wa masomo kuibadili wanafunzi wakiwa wanaendelea
Hii imetokea Tengeru Institute...
Habari,
Poleni na majukumu, mimi ni kijana ninae hitaji kusoma kwa level ya chuo na nimepata nafasi ya kuchaguliwa WATER INSTITUTE (Bachelor of water resources and irrigation engineering) ambapo...
Sakata la wanafunzi LST kufeli limeendelea kujipambanua.
Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe
Inafahamika kuwa walimu LST nao ni products za vyuo hivi hivi hapa nchini. Kama vyuo...
Wakuu kwema?Nina mdogo angu wa mwisho katika familia yetu actually yeye ni mwalimu wa sekondari katika halmashauri X mwenye elimu ya Diploma , imefikia stage sasa anataka akajiendeleze ki elimu...
Naomba msaada kwa yeyote yule anayeweza nisaidia kupata nafasi ya course ya clearing and fowarding diploma nimepata ufadhiri now naombeni msaada
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Huu ni mchango wangu kwenye kuiboresha elimu. Mfumo wa elimu ulenge ufanisi kazini badala ya kumpa mwanafunzi taarifa za mambo mengi. Kwa maana hiyo, kuanzia elimu ya msingi ya kati, wanafunzi...
Habarini wanajukwaa, nina imani kila mtu ni buheri wa afya.
Ninaomba kama kuna mtu anaeweza kuwa na pdf file ya kitabu cha "WHY HAS NOBODY TOLD ME THIS BEFORE - Dr. Julie Smith" anisaidie. Hata...
Hizi Shule Precious Blood Kibaha, feza, anwarite, maua hazina mambo ya pre form one lakini zinaongoza kuwa na matokeo mazuri hizi zingine zinazofanya pre form one zinakwama wapi?
Zamani kusoma sheria, biashara au engineering ulitakiwa uwe na division one tu na uwe smart kichwani sana
kusoma sheria, engineer, biashara au medical ilihitajika watu wenye uwezo wa akili na...
Kichwa cha habari cha husika,
Mimi ni mwanafunzi niliyepata udahili kwenye chuo kimoja cha serikali, kozi ya engineering
Mimi ni yatima kabisa na sina ndugu mwenye kipato cha kunisomesha...
Niliitumiwa Makosa na bodi ya mikopo nikarekebisha lakini Jana nilivyo ingia kwenye account yangu nime kuta kitu kama hicho[emoji116][emoji116] lakin baada yakufanya marekebisho kilikua hakipo...
Kwa hakika hii nchi ni ngumu sana. Mambo yote hata yasiyopaswa yamegeuzwa kuwa siasa siasa tu.
Hili la law school nalo kwa hakika ni shida.
Examination Results
Hiyo ni "site' yenye matokeo...
Kwema watu wa Mungu?
Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake.
Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.