Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wana Jf. Jamani naomba kwa yeyote anayejua mshahara wa walimu wa shule za msingi anijulishe,
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Ni vizuri kamati ya bunge ikawa inayapitia matokeo yoyote yanayotayalishwa na NECTA Ili bunge likiona haijaridhishwa na matokeo basi irudishe tena baraza la mitihani na mapendekezo kuwa kuwe na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanajamii waliokuwa wanasubiri matokeo ya kidato cha sita, sasa yako hewani.Tembelea tovuti ya Baraza la Mitihani. The National Examinations Council of Tanzania
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa tatizo la kuporomoka kwa ubora wa Elimu linasabishwa na mfumo mbovu wa ukaguzi. Akiongea na Wakuu na wamiliki wa shule na vyuo binafsi jijini mbeya, Raisi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya Serikali kutoa kauli kuhusu mtihani wa Taifa wa kidato cha nne mwaka jana, Mbunge James Mbatia (NCCR-Mageuzi), ametaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, awajibike...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu Wadau wa Elimu ya Tanzania, Soma Taarifa ya Waziri Lukuvi aliyoiwasilisha Bungeni, Mojawapo ya pendekezo ni kufutwa kwa matokeo ya kidato cha nne(4)2012, Na kupendekeza mitihani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
awali ya yote polen kwa mihangaiko! Naomba kujua yafuatayo kuhusu vyuo cha Veta a]kwel ajira zake zipo? b] je, wanatoa diploma? Na kama wanatoa kwa qualification zip? c]je, ni kozi gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima mbele wana JF...Nina mpwa wangu wa kike ( 12 years old ) anahitimu darasa la saba mwaka huu..Ninaomba mnisaidie kujua mambo makuu mawili yafuatayo ; MOSI : Nina...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Wadau wa Elimu ule mradi wa mabasi ya wanafunzi umeishia wapi? Nakumbuka CRDB walitoa mabasi matano yenye thamani ya 500 milion ikiwa ni maalum kuwasaidia wanafunzi wa Jijini Dar es salaam...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya matokeo ya kidato cha nne kupangwa upya waliomaliza f6 wameachwa matatani kwa kua hawajui sasa itakuaje matokeo yao kwasababu Necta wanbidi wa pige kazi even 24 hrs kutoa hayo matokeo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani nimelipia fresh heslb pesa yao kwa m-pesa na nimepata zile code . . tatizo kila nikijaza ile form yao ya online wananiambia hii mesej "the index number you have entered is NOT VALID or you...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, naombeni mnisaidie hli swali. Is tanzania ovepopulated or underpopulate give reasons
0 Reactions
4 Replies
811 Views
Watanzania wenzangu Serikali imetanganza kufuta matokeo yote ya kidato cha nne na kusahhisha upya Binafsi sioni kama ndio dawa ya tatizo hilo!! Serikali ingeweza kuwafanya watahiniwa warudie tena...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Wakuu nina rafiki yangu nimemeliza nae kidata cha nne 2012 ila yeye kapiga div four ya 27 na katika kuchagua michepuo ya kwanza kaanza pcb na ya pili cbg na katika masomo hayo jamaa kascore phy d...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini wizara ya elimu isingekuwa inapanga mda rasmi au tarehe maalum ya kutangaza matokeo huwa nashangaa sana kusikia matokeo yanachukua mda mrefu bila kutangazwa ilihali usahishaji...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau nisaidieni tume launch campaign ya kutoa elimu kwa sex commercial workers katika mikoa yote. Tatizo tunalokabiliana nalo ni kuwa locate hawa wahusika ambao ni hawa dada poa katika mikoa...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Hivi waugwana ni haki kweli kwamba aliye katika ajira hana haki ya kupata mkopo wa elimu ya juu kwa mshahara wa kima cha chini ikiwa ada ya chuo kwa mwaka inazidi hata mshahara wake wa mwaka mzima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taifa letu wanasiasa wanalipeleka wap jaman.ni aibu kimataifa.ndalichako ni mchapa kaz sn.wanasiasa wanamuhalibia.wazir wa elimu ajiuzuru
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilipokosa mkopo heslb nilijua kabisa HLSSF ndo suluhisho langu nika aplay na kutumia gharama nyingi wakatoa ahadi kwa wote ambao waliokuwa wameomba mikopo kwenye hii taasisi wangepata fedha hiyo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kila kukicha elimu Tanzania inaporomoka, hizi hapa ni mojawapo ya sababu: 1. Serikali kutokuwa na sera madhubuti ya elimu 2. Elimu kuingiliwa na wanasiasa mfano Mh. Kikwete kufuta mtihani wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom