Nahitaji kujua takwimu za shule za msingi kama ifuatavyo
IDadi ya shule za msingi tanzania
Idadi ya walimu katika kila shule
Idadi ya wanafunzi kila shule kwa jinsia
takwmu za matokeo miaka kumi...
Ndugu wanajamvi nataka kuomba diploma ya udaktari wa mifugo kwa mwaka wa masomo2013/14,nimeona Tangazo la nafasi katika website ya wizara ya mifugo,kilichonitishanilipata taarifa awali kuwa ada n...
Wakuu,kichwa cha habari kinahusika.
Naomba nisaidiwe,kuna ndugu yangu aliugua mwaka 2011 na alikuwa mwaka wa kwanza UDSM.
Hakufanya mtihani wa semister ya kwanza,na kwenye ARIS inaonesha ame...
Jamani naombeni mnisaidie........hv ninaweza kupata chuo ambacho kinatoa diploma ya tax management kwa masomo ya jion?? Coz asubuh nko bize kwa kutafuta chochote cha kula.
Jaman kama mshasahihisha mitihani na mkapanga matokeo na mnajua tarehe ya kuyatoa kwann msitujulishe na sisi kuwa mtayatoa tarehe fulani ili kila mtu akae akijua matokeo ytakuwepo tarehe fulani...
Wana JF ningependa kujua kama kuna m2 kaskia tetesi zozote kuhusu wa2 tulivo perform katika hii mitihani maana mi nimeambiwa eti physics t.o pp1 ana 59 % . Je ni kweli ? Na masomo mengine vp ?
Wana JF hawa jamaa wa bodi ya mikopo hatuwaelewi kabisa kwa sisi tunaotaka kukata rufaa. Kwenye Tangazo waliloweka kwenye Wall yao inaonesha Saver ipo tayari kwa kukata rufaa lakini kila ukijaribu...
Ili tuendelee kama taifa ni lazima tujiulize maswali matatu haya muhimu: (What? Why? and How?)
(1) Nini tunataka tuwe kama taifa? Falsafa yetu kama taifa ieleweke bayana kwa kila Mtanzania.
(2)...
naamin wote mu wazima,bodi ya mikopo imetoa taarifa kuwa watu waanze kuomba mikopo kwa mwaka wa na kwa wale wanaoendelea kuanzia tar 1 mei mpaka 30 juni.Mimi niliomba mwaka jana lakini sikupata...
naomba ushauri kiukweli tangu nkiwa mdogo form three(2006) ilitokea nkapenda san kufanya kazi benk ikanilalim kuanza ksoma masomo ya biashara(HGE) nkafaulu hiyo kombi nkaso A level ndipo ankafaulu...
Nimeingia kwenye web ya heslb,hakuna taarifa yoyote juu ya application 2013/14,kama walivyokuwa wametangaza kuanza leo;kama kuna m2 anataarifa zaidi atujuze
http://olas.heslb.go.tz ishaanza kupiga mzigo kwa waombaji wapya na wazamani
kwa wale wahanga wa last year kuna kulipia tena 30,000/=, ukijumlisha na ya last year inakuwa umechangia 60K :A S 20:
Hello wana jf.
Kwa wazoefu na waliopo vyuoni je hili linawezekana.
Imepita miaka mitatu tangu niache chuo bila kutoa taarifa yoyote.na ku deal na biashara,sasa nataka kurudi chuoni nilikukowa...
wadau naomba kuuliza kama sasa wanafunzi wa law school wanapewa ufadhili na serikali.nakumbuka mwanzo ilikuwa tatizo bse wengi walishindwa kulipa ada na ilikuwa tatizo kwa wale wa mkoani kuishi...
Kwa mara ya kwanza Watanzania watakuwa na fursa ya kupata mafunzo ya kompyuta katika ngazi ya kimataifa, International Computer Driving Licence (ICDL) certification, yatakayoendeshwa na Kituo cha...
Habari ndugu, kwa wale wanaotaka kwenda kusoma India katika level za diploma, degree na hata master napenda kiwajuilisha kuwa nafanyia Admission bureeee kabisa bila ya charges zozote. Kama...
Evans Kisanko ameibuka mshindi katika uchaguzi wa Rais wa DAR ES SALAAM UNIVERSITY STUDENTS ORGANIZATION (DARUSO) baada ya kuwashinda kwa kura wagombea YASINI ATHUMANI, EGIDY MKOLWE, tunategemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.