uchaguzi wa viongozi wa DARUSO (dar es salaam university student organization) umekamilika na bwana KISANGO kuchaguliwa kwa kura kati ya 2000 na 2500 ila wanafunzi wote wapo karibu 19000.
naomba...
Wana jf habar zenu! natumai wote mko good.
Wakuu nimetupia thread hii kutokana na utata uliotokea sekta hii ya elimu.
Hii imekuwa booring kwa kuwa proces mbali mbali...
Elimu ya Tanzania imegubikwa na ubabaishaji mwingi hasa inapofikia wakati wa kutangaza matokeo, hadi leo hii tar4 matokeo ya kidato cha sita hayajatangazwa na hakuna ajue yatatangazwa lini licha...
Habari Zenu wadau Naomba msaada Je unaweza pata Nafasi ya JKT ukiwa na Elimu ya cheti chochote kwa Mfano Sheria au ,IT kwa sababu kuna mapumziko ya Miezi 4 kabla ya kujiunga na Diploma na je...
National Examination Council of Tanzania (N.E.C.T.A) MATOKEO KIDATO CHA NNE KUPANGWA
UPYA Serikali imetangaza uamuzi wa
kupanga upya matokeo ya kidato cha
nne ya 2012. Uamuzi huo
umetangazwa...
Wadau!
Najiuliza hapa pamoja na utajiri tulionao Tanzania kuanzia MADINI, GESI, MALIASILI (Mbuga za Wanyama, Mlima Kilimanjaro na vitu vingine vya kuvutia duniani, mf. Zanzibar) kama kweli Elimu...
Wakuu nafkiru mko good.
Wana jf nimetupua thred hii kutokana na influence ya shukrani nyingi kitaa wake waliopoteza matumaini ya advance wanamshukuru sana waziri na tume...
Habari zenu wanajukwaa,
Naomba kwa ufupi sana nibainishe sababu kadhaa zinazochangia kushukaa kwa kiwango cha elimu katika mkoa wa Tabora,kwanza mazingira magumu kutokana na jiografia ya mkoa...
Samahan wadau
habar znu?
Naomben kujua kuhusu comb mpya ya CBM iloanzshwa ivi karbun, ukiisoma A'level chuoni waweza kusomea coz gan hasa?
Nataman sana kuisoma hii coz naihofia sana phy
Walipo feli mlisema,serikari ina tupeleka wap?haya wamerudia kusahihisha bado mnasema tu, hivi nyinyi wabongo hamuishiwi maneno? Kaeni kimya tusikilize jinsi itakavyo kua maana hata wakirekebisha...
Kuna uvmi kwamba matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 yaani wale waliovunja record ya kufeli hayaonekani mtandaoni.Sasa ni vizuri kuhakiki wao wenyewecoz imesababisha matatizo mtaani kwetu.
Applications are invited from qualified Tanzanians for Undergraduate and Doctorate degree scholarships tenable in The Russian Federation for the year 2013/2014. The medium of instruction is Russia...
Matokeo ya form four kupangwa upya na
kufanyiwa standardisation, kutokana na
necta kutumia mfumo mpya ambao
hawakuufanyia utafiti;
tusaidiane jamani ,sasa jamani hivi haya
matokeo yanapangwa upya...
Hivi hao waliokufa kwa sababu ya haya matokeo,wakat ukwel kwa mujibu wa tume ni kwamba baraza ndilo lilo kosea! Hivi hizo familia za walengwa watajisikia vipi? Uhai wao nani anahusika?
Habari wadau wa Elimu! Tangu siku ya leo ianze moja ya habari zilizoenea mtaani ni kuhusu ufutwaji wa matokeo ya kidato cha nne 2012 ambayo tume iliyoundwa na Waziri mkuu kubaini sababu za kufeli...
Wadau wa Jf naombeni ushauri.Mimi ni Mwalimu katika Halmashauri ya Wilaya ya SHINYANGA VIJIJINI.Nilipandishwa daraja/cheo tangu mwezi November,2011.Lakini mpaka sasa sijabadilishiwa mshara,si mimi...
Naomba nianze na msemo unaotokana na tajiriba zetu.ukiona elimu ghali jaribu ujinga.nimeamua kusema hivi kutokana na kitendo cha wizara ya elimu kushindwa kufuata utaratibu uliokuwa ukitumika siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.