Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wakuu Msaada wakuu,katika kuapply huku ukiwa na diploma imetushinda tumehangaika wee hadi vichwa vinauma na ukifika sehemu ya kuhakiki ulikotuma kwa m-pesa tunaambiwa namba sio sahihi,muda...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
habari za uhakika n hz hapa: Poleni sana kidato cha sita wenzangu kwa kuwa na stress za kusuburi matokeo ila kwa taarifa yako ni kwamba shusha pressure tu yaani kwani kutokana na ubovu wa matokeo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu wana JF naomba kwa yeyote anayeweza kusaidia kupatikana mawasiliano ya Waziri wa Elimu anipe. Huu ni mwezi wa pili sasa mamia ya walimu tulioajiriwa Machi2013 hatuna mishahara. Mbaya zaidi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ukweli ni kwamba wahitimu wengi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam ni vilaza/wababaishaji [Si kikwete tu!]. Hii inatokana na jinsi wanavyofundishwa [wanakaririshwa na si kueleweshwa] watu wa aina...
4 Reactions
212 Replies
19K Views
Worse2565 40.1% Not Fair2259 35.4% Good939 14.7% Excellent247 3.9% I don't know214 3.3% Very Good162 2.5% Hii poll iko website wizara ya elimu. Sijui hata kama wanalichungulia. Au imewekwa tu...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Wakuu salaam. Ninapenda sana kujua taarifa za wanafunzi wa Mzizima Secondary School tuliosoma miaka ya 1980's enzi za waalimu kama Mr Juma, Mr Acharya, Mrs D'Souza, Mama Mngodo, Mrs Bagalkote...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
vijana mtulie ., hamuwezi kupewa matokeo yenu wakati Kama huu ambapo bungeni kuna mambo mengi yanayowaumiza waheshimiwa vichwa. Matokeo tulieni mpaka bunge lipoe. Ni mawazo yangu tu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanafunz wa shule ya sekondar ndanda masasi mkoan mtwara wameandamana wakielekea wilayan masasi.
0 Reactions
51 Replies
9K Views
mi nimehitimu kidato cha sita mwaka huu na nasubili matokeo ila hz mambo za university application zinanchangana sana hasa kuhusu HESLB na TCU nashindwa kujua ipi ni ipi na kila ipi tunaaply...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kufuatia matokeo mabaya na ya kusikitisha sana kwa mara ya kwanza Tanzania zaidi ya watahiniwa 60% kufeli, kuna mkakati unapangwa kuishauri serikali kupitia wizara husika kuwachagua wale wote...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Kwa ambao wameconnect na CCNP, ORACLE na CCNA. Wakuu, ambao mnategemea ku apply bachelor degree in IT kwa miaka 4 ambayo wameconnect proffesional course ambazo ni 1.ccna 2.ccna security...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakufunzi mashetani ni aina ya wakufunzi vyuo vikuu ambao wana mapepo ya ngono,wana elimu ya vyeti tu na wamekuwa wakigawa ufaulu au GPA nzuri kwa wadada ambao huwa tayari kutoa miili yao...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Matokeo ya kidato cha sita waliohitimu mapema mwaka huu yako tayari kutangazwa. Yanaonesha ufaulu kushuka kama ilivyotokea kwa kidato cha nne mwaka huu. Ufaulu wa wavulana umeuzidi wa wasichana...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Juz tar 28 mwez huu imezinduliwa taasisi maarufu sana ya kichina iitwayo Confucius Institute katika colege ya SSH Udom, na Mzee wenu Mkapa, masomo yatakayo fundishwa ni pamoja na Hu Shu, Karate...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Shule za sekondari kuhamishiwa TAMISEMI. Watendaji wa Tamisemi badala ya kusimamia taaluma mashuleni, wanasumbua na kuharibu taaluma kwa (a) kuingilia utawala wa shule katika...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Wale wanaofikiri kunji ziko Bongo tu, wanakosea. Ziko mpaka katika Vyuo vikuu vya Marekani. Wanafunzi wanne wa Chuo Kikuu cha Ohio walikamatwa na Polisi kwa kuvamia kikao cha Bodi ya Wadhamini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
http://www.nytimes.com/2013/04/29/technology/kenneth-i-appel-mathematician-who-harnessed-computer-power-dies-at-80.html?hpw&_r=1&
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Academy St kayumba Anaamka asubuhi na kupanda basi la shule au usafiri wa familia Anapewa nauli au anatembea kwa miguu Achapwi viboko...
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Kagame appoints don of Tanzanian origin minister Wednesday, 27 February 2013 22:01 By The Citizen Correspondent Kigali. President Paul Kagame of Rwanda has appointed a professor of Tanzanian...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
jaman wana jf matokeo ya kidato cha sita yana toka lini..mwenye kuja..
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom