Baada ya matokeo ya kidato cha nne kutoka na kuonyesha zaidi ya asilmia 60 wamefeli waziri mkuu aliunda tume.Sasa nauliza ulikuwa upepo au liwalo na liwe.
jumatatu ni uchaguz wa kumpta rais na msaidzi wake hap ud..katk hali icyo kuw y kawaida uchaguz huu unafanyik wakati ambapo wana udsm wana mwitikio mkubwa wa kupiga kura..hii inasababishwa na...
BAGAMOYO UNIVERSITY IS OFFERING MASTER DEGREE IN PEACE AND CONFLICT RESOLUTION.
INTAKE: MAY INTAKE- admission is on already
DURATION: ONE YEAR
QUALIFICATION: First degree in any field
This...
Nafuatilia mjala kupitia tbc,na wataalamu wa mitaalaa wameshindwa kutoa majibu muafaka kwenye maswali ya msingi. Sehemu ya udhaifu walionesha ni pamoja na 1; kukataa kukiri kuwa wamechelewa...
Maswali ninayojiuliza katika sakata hili la kuongezeka kwa nauli ni mengi. Na mengine ni mazalia ya machungu ya adha na taabu wanazopata wanafunzi kwenye daladala.
Hoja yangu ni Je haki za...
Habarini wakuu! mimi nataka nikachukue fani kati ya hizi hapa juu, naombeni ushauri ni ipi nzuri na rahisi kwa upande wa ajira kma nikifanikiwa kumaliza? natanguliza shukrani
Pale ninapowaona kwenye kupitia luninga wakiilalamikia serikali kero mbali mbali wakati wakitafuta elimu kero kama huduma duni vyuoni/mashuleni, ukosefu wa chakula cha kutosha, ukosefu wa...
Naomba mnipe jibu la kitendawili hiki: Ni cheupe kama barafu na cheusi kama giza. Kuliwa ni HARAMU, kunywa ni HALALI. Hutumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na mara moja na wanawake katika maisha...
mi mwalimu wa sekondari niko wilayani TUNDURU. natafuta mwalimu wa kubadilishana nae to mkoa wowote tanzania isipokuwa tanga, lindi, mtwara, dar na shinyanga. tuwasiliane kwa 0682136570
Quotations make people think the world is over while it has just born. And you!!!! You have to work on a dream that one no any book can translate
Sent from my BlackBerry using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.