Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Huku JF hasa "Jukwa La Elimu" ukisoma mada nyingi ni za kukejeli chuo cha UDSM, ningependa kujua ni vigezo gani mnatumia wakati chuo chetu kimeshika nafasi ya 6 kwa ubora hapa Africa?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu eti selection za wanafunzi watakao jiunga kidato cha tano 2013 zitatoka lini maana tumeshachoka maisha ya mtaani na kikubwa tujue tumechaguliwa michepuo gani kwa ajili ya TUTION
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimesikia kwa mdau mmoja kuwaa wanafunzi wa udsm na ardhi huwa eti wanajiuza mliman city unakuta wanazunguka hata hawana la kufanya na ukiwagusa unawapata fasta hivi nyie hamjasikia?
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Good evening i have phobia who can help me
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mnipe jibu la kitendawili hiki: Ni cheupe kama barafu na cheusi kama giza. Kuliwa ni HARAMU, kunywa ni HALALI. Hutumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na mara moja na wanawake katika maisha...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
what are the impacts of ujamaa legacy in Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Ni baada ya machafuko yaliyotokea leo hatimaye chuo cha uhasibu Arusha kimefungwa kwa muda usiojulikana mpaka hapo bodi itakapokaa na kufanya maamuzi.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama unahitaji msaada wa namna ya kuandika research proposal, literature review na dissertation tuwasiliane kwenye kwa private message.
1 Reactions
3 Replies
5K Views
jaman mwanafunz huyu anahitaji mwalimu wa tuition.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuuliza si ujinga jamani. Mimi nimekuwa nikilisikia hilo muda mrefu sana na nimekuwa nikijiuliza, nini asili ya hiyo sentence "Eskimo Joe". Mara nyingi nimekuwa nikisikia Black Americans...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Management of Solid and Liquid Wastes: A Manual for Environmental Health Workers George Nicholas Nyang'echi; kama una soft copy pleaz naomba umsaada wako nina uhitaji nacho!!
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Inashangaza kuona wasomi wengi wa vyuo vikuu wanaadhimisha kifo cha Kanumba kwa ushawishi kutoka redio ya watu, lakini sijawaona miongoni mwao wakiadhimisha kifo cha Profesa Haroub Othman, au haya...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari nilizopata hivi punde ni kwamba wanafunzi wawili wasichana wamefariki dunia kutokana na mshituko walioupata wakati mabomu ya machozi yaliokuwa yakipigwa ndani ya chuo cha uhasibu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watanzania tucheze na vitu vingine ila tusicheze na elimu ya watoto wetu tukidhani tutabaki salama kwa umoja wetu.si jambo rahisi Taifa lolote duniani kuifanya elimu kuwa sehemu ya biashara...
0 Reactions
1 Replies
778 Views
mdogo wangu amepata div 3 ya 24 anataka akasome (d.i.t) masomo kati ya LABORATORY SCIENCE AND TECHNOLOGY au BIOMEDICAL ENGINEERING..ipi itakuwa njia raisi ya kuwa daktari. Naomba msaada wenu wana...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kuna mwanafunzi alimaliza udsm mwaka jana amepata kazi hapa ofisini kwetu aithee kichwani empty brain kabisa hajui hata ethics za kazi muda wote yeye ni kushinda internet kwenye social networks...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Maelfu ya wananfunzi wa Chuo Cha Uhasibu kilichopo Njiro Jijini Arusha wamejikuta wakimaliza siku vibaya baada ya kupewa kichapo cha nguvu na askari wa Jeshi la Polisi waliokuwapo chuoni hapo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni mkuu wa mkoa wa ARUSHA amesema kwamba mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha uhasibu yalipangwa na baadhi ya wanasiasa ili kujitaftia umaarufu katika chuo hicho.Akizungumza na waandishi wa habari...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo kijijini Kwembe katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam. Hii ni sehemu ya Chuo cha Afya na Sayansi...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
While Cognac is made from grapes (the brandwijn), Whiskey is made from grains. Both are fermented, and convert sugar to ethanol.. One thing that whisky and cognac have in common is that they are...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom