HERE IS HOW A STUDENT OBTAINED
0%
IN AN EXAM -
Personally, I would have given him
100%
how about you?
Q1. In which battle did Napoleon
die?
* his last battle
Q2. Where was the Declaration...
Kama kuna kitu kinachoumiza wazazi wa wanafunzi kwa sasa basi ni tabia ya walimu kukalia madai tu.
Mfano walimu walioajiriwa mwaka huu kati yao zaidi ya elfu 12 inasemekana hawajaripoti...
Pole na majukumu,
Naomba kuuliza;
Kwa mtu aliyesoma B.Sc in Building Economics (degree ya kwanza) kisha akasoma MBA Marketing, akitaka kusomea mitihani ya uhasibu atakuwa anaqualify kuanza na...
Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?
Ndhani management ya IFM inapaswa kulaumiwa kwa ujambazi unaoendelea kufanywa kwa vijana wao wanaokaa sehemu mbalimbali.
Pia inaonyesha walivyo wavivu wa kufikiri hivi unategemea mwanachuo...
nchi nying dunian zilizoendelea ni kutokana na kuwekeza katk sekta za elimu, ss hapa kwetu tanzania shule zpo lakin vitendea kaz haba, hakuna shule ya kata hata moja yenye maaabara ktk masomo...
Hebu tuache tofauti zetu tujiulize maswaili yafuatayo:
.je ni kushuka kwa maadili ya jamii nzima?
.Je ni mitaala yetu isiyokua na dira?
.je ni sera ya elimu kuwa mbovu?
.je ni ni wataalamu...
Kama sikosei, nilisikia itatoa ripoti ya sababu za kufeli vibaya kwa wanafunzi wa Kidato cha Nne, 2012 mwezi wa Nne katikati. Sasa mwezi wa tano unakaribia, je tume hiyo itatoa lini ripoti ya...
Migomo iliyokithiri vyuoni ni kukua kwa ulewa wa haki?,ujasiri wa kuzidai?,au ni kukithiri kwa uonevu kwa wanachuo na kutothaminiwa kwa haki zao?Lakini tujiulize pia vyuo visivyokuwa na rekodi za...
Ni kama vile Serikali imeamua kupuuzia mustakabali wa Elimu ya Tanzania licha ya kelele zinazopigwa kila siku kufuatia kuyumba kwa elimu ya nchi hii,safari hii serikali imewahadaa walimu kwa...
A very interesting bestseller book.
Kwa mliokisoma kitabu hiki; unakubaliana na principles zilizoainishwa na Kiyosaki (especially to the African economic context)? Je, umeshaapply principles hizo...
tumeona matokeo ya kidato cha nne jinsi yalivyokuwa mabaya sana
na tujiulize kama matokeo ya kidato cha sita ya kitoka vibaya huko mtaani sijui kutakuwaje
kutkuwa na ongezeko kubwa la vijana...
Nahitaji kusoma chuo cha Nairobi Institute Arusha course ya Tourism and Tour Guide.. Vp jaman chuo kinafaa na pia hii course inalipa.. Nisaidieni jamani kabla sijaenda chuoni.
Farida, hellow naombeni msaada kuhusu haya matokeo japo nimechelewa
hstry f
eng d
kisw c
geo d
civ c
math f
biology c, je anaweza soma kidato cha tano au nifanye nini?
Briefly in tanzania we dont take education as a capital this is because we have a classes in giving education to our people I ssee in the societies how the familly it self diverty from other families.
Nikiwa kama mmoja wapo wa walimu wa Tanzania nimefanya uchunguzi asilimia kubwa ya walimu hawakitaki hicho chama kwasababu kiko kwa maslai ya wakubwa na serikali.Sasa kuendelea kutushinikiz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.