Mabomu ya machozi yanaendelea kurindima ndani ya chuo cha uhasibu yapata saa moja sasa baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha kususa kuzungumza na wanafunzi ambao mwenzao ameuawa kwa kuchomwa kisu.Mkuu...
Ndugu wana JF,
Jina langu ni Elineema J Mosi.
Sasa jionee picha ya moja ya shule jimboni kwa Mwigulu Mchemba, ujionee hiyo elimu bora anayosema inatolewa na ccm yake. Watu wanajinasibu na...
Ni mbunge wa Arusha mjini yupo chuo cha uhasibu Arusha akijaribu kuwatuliza wanafunzi wasifanye fujo baada ya mwanafunzi mwenzao kuchomwa visu jana hadi kufa wakati akitoka kujisomea usiku saa...
Naomba kujua siku ambayo bajeti ya Elimu itasomwa Bungeni. Huo ni wakati wa kufanya tathmini juu ya nia ya serikali kuboresha Elimu hapa nchini. Karibu kwa mchango wasko.
Jamii ya udom imeingiwa na hofu kutokana na tetesi za tume ya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi hasa katika kitivo cha sayansi ya jamii kuingia katika mgogoro mkubwa na utawala juu ya uchaguzi...
Jaman ndugu zangu wana Jf. Mie nilifanya mtiani wangu wa kidato cha 6 mwaka jana (2012)! xaxa nataka nikajaze form ya TCU niombe chuo. , guide-book inaonyesha kwamba mwf. achague program...
Nisaidieni kwa ushauri,me nimesoma bachelor of arts with education,nina mpango wa mwaka huu kusoma masters hitji langu hapo mbeleni niwe lecturer je nisomee master gan kati ya master of education...
naomba majibu yenu wadau! hivi ni kweli passmark za kidato cha nne zimepandishwa? na kama kweli zimepandishwa,ni kwa hawa S.C na sio PC maana passmark za PC zilikuwa juu tangu mda.hebu nipeni uhakika.
"kwa chochote kinachokusumbua kwenye masomo hayo mawili lazima utakielewa na kupata mabadiliko,hata kama huwezi kitu lakni unapenda kusoma,basi nipo kwa ajili ya shule na wanafunzi ."MIMI ni...
Salaam wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Mzazi wangu naye ni mwajiriwa lakini sasa ni mgonjwa sana, anaishi mbali na mimi (mkoa mwingine). Naomba kujuzwa taratibu za kufanya ili niweze...
Kampeni za Uchaguzi wa Rais, na Makamu wa Rais wa Serikali ya Wanafunzi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, zimeanza.
*Wagombea Urais ni watatu katika kinyang'anyiro hiki. Bw Egidy Mkolwe...
Habari zenu wa jf natumai mko poa kabisa,samahani waungwana kwa mtu ambae anaju wapi ntapata link ya kitabu cha alfu leyla ulela naomba aniwekee,pamoja na kitabu cha Kamarazaman na...
habari wana bodi!!!
nikawaida kwa mwanafunzi wa masomo ya juu kusoma hata kama akiwa na ujauzito ilimradi awe na uwezo wa kuyahandle mambo yote hayo kwa wakati mmoja,lkn pamoja na ukawaida wake...
Jamani, mie nilihitimu masomo yangu ya kidato cha 6 mwaka 2012 na nategemea kwenda univercity mwaka huu. Kwa yeyote mwenye ndoto kama zangu au mwenye upeo wa juu zaid kuusu hilo,,' NAOMBA MUDA WA...
BAGAMOYO UNIVERSITY IS OFFERING MASTERS DEGREE IN PEACE AND CONFLICT RESOLUTION.
INTAKE: MAY INTAKE- admission is on already
DURATION: ONE YEAR
QUALIFICATION: First degree in any field
This...
kati ta course ya secretary na tourlism ipi inafaa,upatikanaji wake wa kazi,,na hata kwa manufaa yangu mwenywe hat kuweza kujiajili!!???plllzzz help me
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.