Habari Wakuu,
Naomba msaada kwa yeyote anayejua chuo kizuri cha utalii kilichopo kwenye mkoa wowote kati ya hii, Dodoma, Iringa, Morogoro.
Naomba ushirikiano wenu.
kwa taarifa tu,wadau wanasema mwaka huu masomo ya physics,english,mathematics ndio yaliofelisha zaid yakifuatiwa na accounts!na pia kwa wale wa geography katika paper 1 kama umejibu maswali ya...
Habari wana jf,,,sina uelewa wowote kuhusu hili swala naomba mnisaidie kwa wanao fahamu,,,,nimemaliza diploma ya records management chuo cha tanzania public service college mwaka jana mwezi...
A 20-year-old Nigerian, Favour Odozor, has emerged as the youngest with the Commercial Pilot Licence (CPL) in both Nigeria and South Africa.
Mr. Odozor who graduated alongside 15 other trained...
Anahitajika mwalimu wa sekondari anayetaka kuhamia manispaa ya morogoro,awe anatoka kati ya halmashauri zifuatazo Kinondoni,Temeke,Ilala,Kibaha mji au Mkuranga.
Watanzania tukiendelea kuwabeza na kuwakejeli walimu tusijute kuwa na taifa ambalo linashangilia dhambi ya umaskini,ujinga na maradhi.vilevile hatuwezi kujenga Taifa la watu welevu na wenye...
Wakuu salut kwenu, wenye ujuzi na uelewa wa masuala ya ukuaji wa miji na majiji naombeni mnipanue uelewa juu ya sifa (universal qualifications) muhmu za mji kupewa hadhi ya jiji (city). Maana yake...
habari wadau.....
Ninaandaa pendekezo/muswada wa utafiti (research proposal) wenye kichwa kisemacho "NEGATIVE EMOTIONS ON CREATIVE THINKING AND ITS IMPACT IN SCHOOL LEARNING OF YOUNG CHILDREN"...
Wadau wa elimu JF.....!
Imekuwa ni kawaida pindi yatokapo matokeo ya kidato cha 4 huwa kunakuwa na mfululizo wa matangazo ya shule za private kwa wanafunzi wanaopenda kujiunga na kidato cha 5...
Nimekuwa nafuatialia sana midahalo kuhusu elimu. nimepata wazo kuhusu hii proposal ya kiswahili kuwa ya kufundishia tangu darasa la kwanza mpaka chuo.wazo langu. wabongo hawapendi kuandika vitabu...
Jana ama juzi kulikuwa na mjadala hapa jf kuhusu yanayojiri UDOM wakati huu ama ambayo yalishatokea.
Nikiwa mjini Dodoma kawambwa (waziri wa Elimu) alipita nakuelekea UDOM mchana wa saa nane...
heshima kwenu wanajf,kuna rafikiyangu nikonaye mwaka wa kwanza hapa st john's ANAOMA BAF na anataka mwaka wa 2 ahame kwenda mzumbe kusomea BAF
je napenda kujua inawezekana?
Kama inawezekana...
Habari wana jm nimepata tetesi kuwa eti serikali imepandisha madaraja ya waalimu shahada kuanzana E,stashaha kuanza na D, na cheti C, jaman kuna ukweli hapa?
Wadau kwa bahati nimetembelea vyuo vikuu kadhaa duniani but sijawahi kuona chuo chenye kukosa utaratibu kama pale UDSM fikiria ati kumeanzishwa Stendi kadhaa za Pikipiki a.k.a Bodaboda ndani ya...
Jamani wana Jf, naomba kujulishwa kwamba form ya mkopo inagarimu ela kiasi gani? yaani kuanzia kuiprint hadi kuituma, garama zake zote kwa ujumla ni kiasi gani? na garama hzo zinalipiwa wapi na...
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imefuta mitihani ya Trade Test kinyemela kinyume cha Sheria ya Bunge Na. 1 ya 1994 iliyounda Mamlaka hiyo. Mfumo wa Trade Test unatambuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.