Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ni mwaka wa nne huu Asasi za Uwezo na Tweweza zimekuwa zikifanya tathmini ya stadi kuu za kusoma na kuhesabu kwa lugh zote mbili za kiingereza na Kiswahili. Utafiti huu hufanywa na watu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana while natoka kazini,kuna jamaa aliniomba lift..ile nawasha gari AC na Radio vikawaka at per yaani huwa siswitch off nikizima gari,akaniambia naiua betry niwe naoff...nikatake ushauri leo...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Dear Applicants Welcome to the CAS operated by TCU and NACTE. You are getting this mail because your qualifications falls under Diploma and Equivalent category. Here are issues that you...
0 Reactions
1 Replies
14K Views
2013/14 Dr R J Colley Bursary for Research and Taught Postgraduate Level at University of Aberdeen, UK University of Aberdeen offers Dr R J Colley Research and Postgraduate Bursary in the all...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni pesa ya wanachuo waliohamia vyuo vingine toka chuo hicho! Kilichofanyika ni kwamba, pesa baada ya kufika chuoni kwao waliandika bank account fake na kisha ku-sign. Mbaya zaidi ni kwamba mtandao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila sound driver nayoingiza hailet msaada.nisaidieniwana jamii
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naomba msaada wa jinsi ya kuundaa cv yaani jinsi inavyokuwa coz cjawai aandaa!!mwenye kujua plzz ni pm!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kinyang'anyilo cha Uchaguzi wa Serikali ya Ya Wanafunzi UDOSO. Kuna hekaheka kubwa na Mhemuko mkubwa wa huo Uchaguzi. Ni uchaguzi unaovuta hisia kubwa juu ya makundi yanayohasimiana chuoni...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Tetesi kutoka katika kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya waalimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000 na...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
New Zealand Development Scholarships are well known scholarships which are awarded each year by New Zealand Government. The scholarships are offered for the students of developing countries to...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
1. Tuamkapo asubuhi tuwasalimu wazazi shikamoo baba/mama/kaka/dada etc HII NDO TABIA NJEMA !! 2. Mabata madomadogo yanaogelea katika shamba zuri la bustaani, yanapenda kuogelea bila viatuuu katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jumatatu nilikuwa nafanya maongezi na baadhi ya wanafunzi wa mwaka 2 UDSM wanaofanya bachelor degree of computer science katika maongezi yetu mengi kuna maswali nimuuliza mwanafunzi mmoja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Walimu wakipata huduma bora hata utendaji kazi wao lazima uwe bora.Huduma kwao ni kuanzia mazingira ya kufundishia na kujifunzia pamoja na maslahi yao.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
"kwa waliohama / uhamisho wa shule au kubadilisha vituo' hii ni muhimu sana kuepuka usumbufu hapo baadaye" Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bungu, Dismas Kimweli akizungumza na mwandishi wa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wadau leo nimekatiza maeneo ya Kimara,safar yangu ikiwa kuelekea KIMARA BONYOKWA,ila kuna ya kuingilia barabara ya kwenda bonyokwa upande wa kushoto nimeona jengo la ghorofa 3 au 4,ni leupe...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
  • Poll Poll
Ndugu zangu, siku za hivi karibuni waziri mwenye dhamana na elimu (Naibu waziri wa elimu) ameutangazia umma kuwa kushuka kwa ufaulu wa wanafunzi, kumetokana na kufutwa kwa adhabu ya viboko...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF naombeni msaada wenu kuhusu Chuo Kikuu cha Mount Meru University eti pia kinatoa stashahada ya ualimu kwa walimu wa grade A wenye at least D 5 cheti cha O-level ila nasikia ukifika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kulikua na tetec za form six kwenda jeshini,vp walienda? Kama walienda utaratibu wa kujiunga na vyuo ukoje maana cc wengine tulimaliza toka 2008.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwalimu aliacha kazi serikalimi takribani miaka mitano sasa na alivyoacha punde tu alikatiwa mshahara baada ya hapo akaomba ajira moevt akapata na amesharipoti na kuanza kazi kituo kipya sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni mwezi wa pili na zaidi tangu wapate boom la mwisho,hadi leo hakuna ht dalili za kusign.Watoto wanakufa njaa kwa kula mlo mmoja.Na taarifa ni kwamba board ilisha tuma pesa tangu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom