Baada ya wanafunzi kufeli na ukikumbuka hii hotuba, una maoni gani kuhusu hii hotuba ya Mwigulu Nchemba.
Tafadhali: Usiingize Siasa kwa sababu hili ni jukwaa la ELIMU.
Watoto wa shule za msingi za Serikali hususani katika Wilaya ya Temeke wamekuwa wakikosa masomo kama inavyotakiwa.Watoto hao mameku wakishinda uwanja wa Taifa kwa takribani wiki mbili sasa kwa...
Professa Mosha amesha anza kutoa mchango wake na ameanza na migogoro.
1. Matokeo ya K4 mwaka jana.
2. Kuporomoka kwa matokeo
3. Mgogoro kuhusiana na alimu inayo tolewa kila ngazi.
4...
Bweni watoto wa kiume, kidato cha kwanza katika shule ya Wazo Hill secondary limewaka moto.
Hadi naingia jf, hakuna taarifa za majeruhi wala kifo, watoto wote wako salama. Kikubwa wamepoteza...
DAAD Master
DAAD (German Academic Exchange Service) is funding Masters Scholarships in Public Policy and Good Governance at German institution in Germany. A monthly scholarship rate of currently...
Wana JF, nimejaribu kuangalia kwenye website ya Open University, sijaona tangazo la Masomo la mwaka 2013/14 na nataka kujiunga na chuo hicho kusoma mojawapo ya course hizi kwa ngazi ya bachelor...
Wanajf,inasemekana kwamba walimu wapya waliojariwa hivi karibuni serikali inasuasua katika suala zima la kuwalipa mishahara yao. Ina maana serikali haikujipanga kwa hili?
Habari wanajamii,
Kuna mtu yoyote alieitwa katika zile scholarships zilizotolewa na Serikali ya china katika wizara ya Nishati na Madini,kwa alieitwa naomba tufahamishane mana washawafahamisha...
Ndugu habari za hasubuhi
Naomba mdau mwenye kuweza kunipatia hiyo software ani PM, niweze kumtafuta
nahiitaji ndugu wadau kwa minajili ya mazoezi binafsi, Natanguliza shukrani za dhati
fungua link hii subiria sekunde tano sababu wame-ishrink afu bonyeza SKIP AD juu kulia afu ikifunguka kuna file la pdf kb 60 ambayo ni barua kuelezea hivyo vyuo
SOURCE
BARUA YENYEWE...
wadau natafuta kitabu cha tcu , kile chenye orodha ya vyuo na masomo yanatolewa kwenye kila chuo.
nimetembelea Home - Tanzania Commission for Universities lakini nimeshindwa kujua ni link gani...
Elimu yangu std 7.nataka kujiendeleza lakini muda sina je naweza kusoma kwa posta?Kama kuna mtu ana hata anuani ninakoweza kupata elimu hiyo anisaidie.
CHUO KIKUU CHA TUMAINI (KURASIN) kilicho chini ya KANISA LA KILUTHERI baada ya kupiga marufuku suruali kwa wanachuo wa kike na baadhi ya mavazi kwa wanaume DEAN atengua rasmi katazo hilo...sasa...
Nimekua nitembelea shule za msingiWilaya ya Songea vijijini na kugundua kuwa shule zote zonazotoa chkula cha mchana zina mahudhurio mazuri ya wanafunzi na pia wanafunzi wake wanautayari mkubwa wa...
Hivi kati ya Tourism and Tour Guide,Social Work,Human Resources na Industrial Relation kozi ipi ni nzuri na ipo kwenye soko la ajira.... Nisaidieni jamani kabla sijaamua vibayaaa
HABARI WANAJUKWAA.
Kwa wale wanafunzi mliopo vyuo vikuu kuna ustaarabu ambao umeenea kwakasi kubwa sana katika miaka ya karibu ukilinganisha na wakati wa miaka iliyopita.
Wanafunzi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.