Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hivi inamaana hawa viongozi watz wametuona sie mabongolala sana. Kwamba sababu za kufeli kwa wanafunz wa shule ya msingi na form 4 hazifahamiki coz tangu mwaka 2007 hadi 2012 chart inashuka tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wana uwanja. M napenda sana somo la biology coz linanijuza jins mwili wangu unavyofanya kazi. Napenda kujua ni nin kinachofanya mtu acheke? Inakuwaje kuwaje mpaka mtu acheke {how}...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukurutu(mange) ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukizwa wenye dalili kuu zifuatazo: ngozi kuwa ngumu yenye magaga, ngozi kuwasha sana na kupotea kwa nywele/au manyoya unaosababishwa na wadudu wadogo...
1 Reactions
0 Replies
9K Views
heshima yenu wakubwa,, Mimi nimehitimu kidato cha nne na kupata Math-F Geo-F Kisw-D Eng-D Hist-D Civ-D Phy-D Chem-D Bios-C Naweza kusoma Computer...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni chuo gani cha serikali ambacho kinaweza kunipokea nimemaliza fom 4 kama ifuakavyo: Math F Kisw F Eng D Hist D Geo D Civ C Bio D
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mi nashangaa tume kuundwa kuchunguza the reason why there are massive failures in the NECTA form four, i find it to be a means of using unreasonably the funds of poor tax payers. Haihitaji elimu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina dv2 ya point 11(HGK) nataka kufanya application ya university mwaka huu ila nitabase sana kwenye faculties znazohusiana na Geography. Naomba mnisaidie hzo faculties pamoja na chuo kizur tz.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Personal Ethics Personal ethics is your individual understanding of right and wrong. Everyone will look at the same situation with slightly different eyes depending on his or her personal...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Do It Right the First Time You can avoid spending time and energy correcting mistakes, if you do a good job the first time. By now, you should know that it is easier to do a job right the...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Habari zenu wana jf eti post za kidato cha tano mwaka 2012 zinatoka lini
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Naibu waziri wa elimu Mh. Mlugo amesema serikali iko katika mkakati wa kuruhusu viboko mashuleni na kupiga marufuku simu kwa wanafunzi wawapo mashuleni (Startv saa 2 usiku). Je hilo litakuwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna dogo langu kamaliza form four mwaka jana na matokeo yake ni math-D physics-D chemistry-D kiswahili-D geography-D history-D biology-C english-D civics-D na anapenda sana kwenda college kusomea...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
BAGAMOYO UNIVERSITY IS OFFERING MASTERS DEGREE IN PEACE AND CONFLICT RESOLUTION. INTAKE: MAY INTAKE- admission is on already DURATION: ONE YEAR QUALIFICATION: First degree in any field This...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kuna uwezekano wa mtu wa CBG kusoma doctar of medicine kwa kuombea direct chuoni kama st francis , cuhas na kairuki? msaada wenu wakuu
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Nawaomba msaada wakuu kuhusu chuo kinachotoa kozi ya ushauri nasaha ile itolewayo kwa miezi sita ili my wife ambaye kamaliza diploma ya nursing aweze kuisoma. Naomba ikiwezekana chuo kiwe located...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Naam wakuu, Mjadala kuhusu elimu na mustakabali wa Taifa unaendelea sasa hivi katika ukumbi wa Nkrumah. Vile vile uko live ITV na radio one. Tufuatulie
0 Reactions
91 Replies
5K Views
Jamani heshima yenu wakubwa nimemaliza sx matokeo bado lkn nna imani ntafaulu lkn naombeni ushauri ipi kati ya mambo haya mawili utanishauri mimi kama mdogo wako nikasome veternary medicine au...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana jf naomben msaada wenu. Nna rafiki yangu 2memaliza nae f4 amepata div 4.28 naomben msaada wenu kama kuna vyuo mnavyo vijua na course zp znalipa hasa znazohuc masomo ya sayansi kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa elimu mko katika mchakato mzima wa kuelimisha jamii.Naomba nijulishwe kama hizi tamthiliya ya NGOSWE, TAKADINI,ORODHA na nyinginezo zinapatikana kwenye DVD.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Akihojiwa mapema leo na wapo FM kasema ataongoza msako wa wanafunzi wanao miliki simu nakuperezi FB na JF kwani hawaruhusiwi kutumia simu. Serikali imewaagiza wakuu wa shule za sekondari nchini...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Back
Top Bottom