Kwa yeyote mwenye link au notes za kidato au topic yeyote katika vdato hivi (biology or chemistry) anisaidie hata kwa kunibox kwa mail yangu twigamnyonge@yahoo.com
Hope mtaniwezesha
Za mchana wana jamii forum?,samahani,nimepata taarifa kuwa sisi wanafunzi tuliosoma private alafu course za arts na business kama siyo yatima hatupati mkopo wa chuo kikuu,kwahiyo nilikuwa naomba...
Mimi ni mwanafunzi wa QT nategemea kufanya mtihan wa QT mwaka huu lakini napenda sana kusoma cmbnationa ya biashara lakin kwenye mtihani wetu wa taifa masomo hayo amna je? Naweza kuanza kusoma...
Tawi la CHASO katika Chuo Kikuu Cha Kilimo Cha Sokoine(SUA) Campus ya mazimbu limefanya uchaguzi wake leo na kupata viongozi wapya.Ifahamike kuwa katika Chuo Kikuu Cha Sokoine(SUA) kuna matawi...
Mimi mwalimu wa sekondari wilayani TUNDURU natafuta "mwalimu" anayetaka kubalisha kituo cha kazi. lakini awe anatoke MOROGORO, IRINGA, MBEYA, NJOMBE au MBINGA. tuwasiliane kwa 0682136570
Kunataarifa imetoka jana kwamba, ifikapo ijumaa ya tar 12 april wote ambao watakuwa hawajalipa au kukamilisha deni lao la ada basi wanashauriwa kupostpone mwaka wa masomo..hii ni taarifa rasmi.
Heshima kwenu wadau.
naulizia ukomo wa principle subjects ambazo mtu anaweza fanya kwa form six necta exams.
nilimaliza form 6 2004, nilifanya mchepuo wa CBG na kufaulu vyema kuendelea...
Abari wana jf,kwa mwaka huu nakusudia kuja hapo jordan,je kwa bachelor of arts with ed,naweza kupata muunganiko wa MATHS(major) na geo(minor)? Naombeni msaada
Team ya wakufunzi wa mambo ya mafunzo mbalimbali kuhusu biashara, ujasiliamali, huduma kwa mteja, mbinu za kimasoko na namna ya kuanzisha miradi leo kuanzia saa 3 mpaka 11 jioni wapo hapa CHUO CHA...
mimi ni kijana niliemaliza form 4 last yr na matokeo yamekuja nimefeli vibaya mno i dont know why naamini wa kulaumiwa ni serikali kwa kutosahiisha vizuri halafu wanasema wanaunda tume sasa tume...
wakuu, Mambo sasa si shwari tena chuoni SAUT,mgombea wa kiti cha urais wa chuo aliyeshindwa bwana Peter Bega,amekata rufaa kupinga kutangazwa mshindi bwana Dovakamwene Mcheshi,aliyeibuka mshindi...
Ivi TCU inaeza kumchagua mtu mwenye' E ' flat yaan cut point ni 3!! kwa Bachelar of aarts with education ktk chuo hiki? nauliza ivyo coz Guide-book inaonyesha cut point kwa BAED ni 4 points...
Nimekutana na challange hizi, kwa anaezipata naomba msaada.
1. F(x)=2n, where n is all positive integers.
hizo positive integers ni zipi?
2. Approximate 268032 to the nearest thousands.
3...
Kuna mdogo wangu alimaliza kidato chat sita comb PCB with addition of two subjects BAM and GS. Matokeo yake alipata diivision 3 ya point 12 ambapo alipigwa penati ya kufeli BAM na GS. Sasa maswali...
wana Jamii forum;
hivi unaweza kunisaidia vyema kwa unaejua hii.
Hivi mtu akiwa na diploma ya LABORATORY TECHNICIAN analipwa mshahara kiasi gani serikalini;
pia na mtu mwenye BACHELOR IN LAB...
Wadau katika pitapita yangu nimekutana jambo hili jema toka UDSM na ITV/Radio One, nikaona ni vyema kuwashirikisha wana JF.
Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere kinayo furaha kuwafahamisha kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.