nilipongeze hili jukwaa kwa kuwa moja ya kichocheo cha maendeleo yetu.hakuna anayependa ku fail ila uwezo ndo unatufanya tushindwe kufikia mapenzi yetu.kuna mdogo wangu anatupa headache familia...
Katika kuhakikisha elimu inapolomoka ili angalau kila anayesoma afanane naye yafuatayo ndo kaagiza watendaji wake wayafanye.
1. Walimu wanafunzi wa diploma na cheti, mwanzoni waliamuliwa mwaka wa...
Hellow Great thinkers..!
If any one need to be trained on how to design website using joomla or need a website(joomla website) let you send PM to me or email me via jumlacms@gmail.com so as we...
Habari wadau?,natumaini pasaka ilikuwa njema.,pia nachukua fursa hii kupeana pole kwa majanga yanayotukuta watanzania(eee Mungu utusamehe).
Ok nimekuja kuchota hekima na busara kama ilivyo...
Kwa wale wenzangu na mm tulio kwenye Professional ya Uhasibu na uko na malengo ya kufanya mitihani ya NBAA hatua yoyote,hii taarifa inatuhusu sana!! Ni kua Syllabus mpya tuliyokua tunaisubilia...
Wana jamvi hebu nijuzeni kwa sasa chuo cha madini Dodoma kwa ngazi ya cheti muda wa masomo/kozi ni semister ngapi? Na ngazi ya diploma muda wa kozi ni semister ngapi?
Kwa wale wenzangu na mm tulio kwenye Professional ya Uhasibu na uko na malengo ya kufanya mitihani ya NBAA hatua yoyote,hii taarifa inatuhusu sana!! Ni kua Syllabus mpya tuliyokua tunaisubilia...
Mwalimu alitoa chemsha bongo darasani "Laiti jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa Ijumaa" Mwalimu aliyasema maneno haya siku gani? Naomba mnipe jibu wanajf.
Nimezama katika MV KIDATO CHA NNE 2012 iliyozamishwa na Captain mbovu SHUKURU KAWAMBWA na msaidizi wake aliyegushi leseni ya Ukepten MULUGO aka HASHIM HAMIMU. Nimehitimu kidato cha nne mwaka jana...
Jamani wadau nimekuwa nikijiuliza mara zote kwa nini sisi waislamu huwa katika sala zetu tunasisitizwa kumuombea mtume kwenda peponi badala ya yeye kutuombea?
data processing can be performed in 3 approaches manually, mechanical and electronically.manual and electronic data processing approachers have remain popular but mechanical data processing is...
Nimesikia kupitia redio moja ya Mkoani Iringa (bila kukosea ni Ebony FM) ya kwamba Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetoa fomu za kurudia Mtihani wa Kidato cha Nne - 2012 kwa wanafunzi...
Mimi ni mojawapo ya wanafunzi niliofanya mtihani wa form 4 na kufaulu na III=25 Civ-D Hist-C Geog-C Engl-C Kisw-C Biol-D na Maths-FKwa yeyote mwenye moyo wa kutoa msaada naombeni anisaidie hata...
Hello wana Jf
Kama title yangu hapo juu inavyosema, nimekitafuta sana hicho kitabu bila mafanikio yeyote mwenye information kuhusu mahala naweza kukipata anisaidie.Pia riwaya za B.Mtobwa nazo...
Habari za humu ndan jaman,mi naulizia je ni utaratibu upi unatumika kwa wale ambao wamehairisha mwaka wa masomo chuo na wanataka kuingia chuo mwaka huu?Nahitaji msaada wenu kwa yoyote anayejua
Eti nasikia mwaka huu kwakua watu wachache wamefaulu mtihani wa kidato cha nne kwahyo hakuna atakayechaguliwa kujiunga na chuo cha ufundi inawaje alichagua na wote watapelekwa form 5 je hili lina...