Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari za wakati huu wadau wa elimu. Naomba ushauri wenu kwani nataka kufanya MA ktk CLINICAL PSYCHOLOGY Muhimbili mwenye taarfa za hii fani anishauri chochote tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndizo shule 2 za kwanza kabisa za serikali tanzania na zimetoa watu/viongozi mashuhuri OLD MOSHI ALUMNI 1Wilbert Kleruu.....former iringa regional commissioner,(gunned by a farmer in 1971]...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Walimu wapya walionza kazi mwishoni mwa mwezi wa pili wameanza kutaabika baada ya kukuta hamna majina yao kwenye Payrol ,huku wakurugenzi Wakiwakwepa kuwasaidi,habari nilizopata kutoka Wilayani...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mtoto kakaa karibu ya kaburi analia alipoulizwa unalilia nini akajibu " kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu '' Swali maiti alikuwa ana uhusiano gani na mtoto? Correct answer will be rewarded!
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari zenu Wana JF, naamini wote ni wazima wa afya. Bila kupoteza muda twende kwenye swali langu la leo. ---------------------------------------------------------------- Mwalimu alisema "Laiti...
5 Reactions
62 Replies
7K Views
Wakuu nafahamu na nina uhakika wote tuliopo hapa ni ma-GREAT THINKER japo natambua tumezidiana uwezo wa kuchambua hivyo basi naombeni msada wa kujibiwa swli hili la philosophy ikiwa ni hata kwa...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
wana jamii forums, naomba mnisaidie niwafahamu hawa wafaransa wanaoitwa Alliance Francaise? wanahusika na nini? na je kweli wanasaidia au lengo la kusaidia? nataka niwapelekee proposal yangu lakin...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jaman mimi npo first year civil eng chuo flan hapa tz sasa nilikuwa nauliza hivi inawezekana kuongeza mkopo wako kwa kuomba tena maana naona huu wa sasa haunitoshelez mahitaj yangu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana jukwaa kwa yeyote mwenye sera ya maendeleo ya mtoto (Child Development Policy) ya mwaka 2008 aiatach humu jukwaani, nimetafuta hard copy hazpatkan! nataka kuitumia kama rejeo kwenye utafiti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nazionea huruma private school kukosa wanafunzi watakao jiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2013 kutokana na matokeo yalivyo maana hizo goverment school ndo hivyo je hizo private school sijui...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili anaechukua sheria,ameacha kikaratasi kinachosema amejiua sababu ya ugumu wa maisha.lakini kwa mujibu wa watu wake wa karibu wanasema,msela amepigwa chini na...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
How can we best engage college students in the idea of learning instead of just getting a degree?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi naweza nikapata Statistics za matokeo ya mitihani ya secondary school O-Level kuanzia mwaka 2010 - 2013 anijuze, ili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
TYPES OF HUMAN NATURE Before going any further let us first discuss about different characters of a human nature. The term "Personality Profile" is frequently used, but TEMPERAMENT is even more...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naanza kwa kuwapa pole sana wahanga wa matokeo ya kidato cha4. Kuna sababu kibao zilizo sababisha watoto kufeli ila mimi binafsi ninasababu kuu mbili ambazo naamini zaidi ya 90% zimesababisha...
2 Reactions
51 Replies
8K Views
nita pata wapi Past papers za Biology na Chemistry A LEVEL,Wana jf naomba msaada wenu,
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Wadau,naomba kufahamu kama hiyo masters iliyotajwa hapo juu ina soko,na kama ndiyo,wasomi wenye hiyo masters wana husika na nini zaidi kiutendaji?na je wasomi wake ni wengi hapa tz au ni kitu kigeni?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"If you want to know what China is really doing in Africa, this is the one book to read. The Dragon's Gift corrects the misinformation of both critics and defenders of Chinas role on the...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Nataka kusoma diploma ya Laboratory technology hivyo chuo gani kizuri zaidi nitume maombi. Nina point 28 bios C,phys D,math D,chem D.
0 Reactions
28 Replies
7K Views
wadau o level nina div ll point 21 civ C,hist C,geog B,kisw C,engl B,math,chem,biol zote ni D.A level gs S,hist D,geogr C na engl D.kwenye diploma gs C,hist teach metho B,geogr teac metho A,edu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…