Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Pia na garama za masomo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Asalaam wana JF. Naomba mwenye CV ya mbunge wa RORYA Mhe,Lameck Okambo Airo anisaidie kuiweka hapa tafadhali.Nimelazimika kuomba cv ya mheshimiwa huyu kutokana sababu kuwa hajawahi kuchangia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nna mdogo wangu kapata matokeo yafuatayo IV point 28 civ D kisw C eng D biol D chem D geo F hist D maths F Tunataka kumpeleka chuo cha afya maana amesema anaprefer hicho kuliko ualimu. Naomba...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
katika hali ya kushangaza kila ukiingia jf jukwaa la elimu utakuta mara huyo kaweka vyuo top 5 ya afrika, mara huyu anasema chuo cha kata, mara huyu anasema chuo kikubwa afrika mashariki na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
National Examination Council of Tanzania (N.E.C.T.A) MADARAJA MAPYA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE: Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkuu wa wilayaji na itapelekwa kwa mkuu wa wilaya ili isaidie gharama za malipo shulen. je Hii siyo KUTAFUNA HELA ZA wananchi nje nje Kuna mantiki gani mkuu wa wilaya kuzuia wazazi kuchangia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg waalimu naimani mu-wazma wa afya! Habari za uhakika nilizonazo ni kuwa kwa waalimu wote tulioajiriwa mwezi march mwaka huu wilayani Magu waalimu watakaopata mishahara ya mwezi huu hawazidi 20...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Why do you think the thinking capacity of Tanzania students goes down day by day
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Et naomba nijuzwe selection za form 4 lini?
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Jumuiya ya Wanafunzi wanachama wa CHADEMA Chuo Kikuu Kishirika cha Jordan (CHASO) Morogoro imepata viongozi wapya katika uchaguzi uliofanyika leo katika Hotel ya The MARBLE INN mjini Morogoro...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jf nina 4 ya 26,nina physics C,maths C mengne nina D yote.Niende unesi au niende tec kusomea laboratory technology?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau., naomba kuuliza kwa wanaojua lini application ztafanyika maana nmejitahdi kufuatilia kwenye website za vyuo mbalimbali kama UDOM na Mzumbe,ila hakuna taarifa zozote kuhusu hili. UDSM...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa ni mwezi wa ngapi vyuo vikuu vya hapa tz wanatoa matangazo ya kujiunga na masters, hasa vyuo kama mzumbe na udom
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau? kuna mtu anafaham hizi bachelo degree zenye hons zinavyopatikana? ni kwa sifa zipi mwanazuoni ana qualify kupewa hizi bachelor zenye hons?? k.v LLB(hons.), BBA(hons.)…n.k
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadau., naomba kuuliza kwa wanaojua lini application ztafanyika maana nmejitahdi kufuatilia kwenye website za vyuo mbalimbali kama UDOM na Mzumbe,ila hakuna taarifa zozote kuhusu hili. UDSM...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
kwa waliomaliza kidato cha nne au wanaowajua wamemaliza kidato cha nne.kuna nafasi ya kozi za medical assistant na health record diploma na certificates. Kwa maelezo zaidi tembelea: www.tihest.org
0 Reactions
0 Replies
2K Views
chuo cha Tandabui Institute of Health science and Technology (TIHEST) kimetangaza nafasi za masomo ya clinical officer na medical records. Tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidiz: www.tihest.org
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Back
Top Bottom