Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Chuo cha Tandabui Institute of Health Science and Technology kimetangaza nafasi ya kozi za medical assistant na health records. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yao www.tihest.org
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibuni chuo kikuu cha Zanzibar kwa wanafunzi wa undergraduate na postgraduate kwa fani mbalimbali tembelea tovuti hii wwww.zanvarsity.ac.tz
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zen wana jf, Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu,na iwapo nitafaulu ningependa kusoma kati ya hizo course je ni ipi nzuri kwa upatikanaji wa ajira na mshahara mzuri? Ushauri tafadhari!
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Tanzania Commission for Universities (TCU) Source: Home - Tanzania Commission for Universities The Universities Act 2005, gives the Tanzania Commission for Universities (TCU) mandate to perform...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013. Nimesoma HKL na ninategemea kupata B ya history, B ya kiswahili, na B ya language. Hivyo naomba ushauri wa faculty gani nzuri ya kusoma chuo ambayo...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
wadau ni shule gani wanayofundisha masomo ya form5 pia wana programme za ku-resit form 4
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kupiga stori huku mtaani nimekutana na hii. Kuna jamaa mmoja alihitimu shahada ya kwanza ya Utalii (Cultural Anthropology and Tourism ) hapo Tumaini - Iringa mwaka 2008. Jamaa huyo anajuta...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Tz naomba elimu kiduchu! Kuna ugomvi wa jamaa wanaotaka kuwashiwa mitambo ya analogia lakini wawashaji hawataki. Swali: Hivi kuwasha mitambo ya analogia kuna gharama yeyote mpaka kuzue...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Imetokea UDOM college ya Humanities and Social science, Kuna wanafunzi wengi kwani first year pekee wapo Kama 1200 bado second na third year, lkn cha ajabu imetangazwa seminar presentation ambayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wamekuwa kimya sana kuzitoa....hata tulipowafuata bodi walisema tusubiri watapublish, ndo wamekula buku tano zetu au vipi? wananipa Moto :frusty:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina swali dogo kwa walimu wenzangu Tanzania. Hivi inakuwaje wengi hampendi kutambulika kama walimu? Utamwona mwalimu ameandika kwenye profaili yake ya Facebook kuwa yeye ni Education Officer...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Majani ya Chai, Yasinta Assey akionyesha baadhi ya nguo na viatu vya wanafunzi vilivyokutwa katika eneo linalodaiwa kuwa danguro linalotumiwa na wanafunzi wa shule...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mwenye cv za naibu waziri wa elimu mh.philipo mlugo msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Je ipi kati ya hizi postgraduate cources inalipa au inasoko? Masoko, Ugavi, Usimamizi wa biashara au Rasilimali watu
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Napenda sana kusoma sheria. Lakini nasikia inachukua pesa na miaka mingi. Je ni lazima nisome Law school ili niwe lawyer?
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Habari wana jf,kuna kozi mpya ya masters imeanzishwa mwaka huu 2013/2014 pale mzumbe university,je kwa mtu ambae ana bachelor of arts with education{BA.ED} anaweza kusoma hiyo kozi ya masterz...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nisaidieni wana jf course ya kusoma nianze na certificate kwa sababu sina muelekeo nina d zote na c ya n
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau naomba kufahamishwa na m2 yeyote kama ana taarifa yoyote kuhusiana na kazi ya muda inayohusiana na shahada ya jinsia na maendeleo (Bachelor Degree In Gender and Developnment) naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nina mdogo wangu tulikuwa tunamwambie apige kitabu akawa analeta mzaa alipata 4 ya 29 mwaka 2010 familia ilishauliana la kufanya na tukakubaliana dogo akapige A level uganda dogo amemaliza na...
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Msaada kwenu wanajf. Nina four 30 sijui nifanye nini? Nahitaji kufahamu kama nikienda certificate nikachukue course gani ambayo itanisaidia kujiajiri mimi mwenyewe.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom