Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani changamkieni hizi wadau, chekini hapa Public Service Management
0 Reactions
0 Replies
729 Views
SHULE ya Msingi Machala iliyopo Kata ya Miono, wilayani Bagamoyo, Pwani, inakabiliwa na ukosefu wa vyumba vya madarasa, hali inayosababisha wanafunzi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SHULE ya Sekondari Majani ya Chai iliyoko wilayani Ilala, Dar es Salaam inakabiliwa na tatizo la baadhi ya wanafunzi wanaojiunga kutokujua kusoma kwa ufasaha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimeicopy kutoka sehemu...... TUME YA MH. PINDA INATIA WASIWASI Jana Mwenyekiti wa Tume hiyo, Profesa Sifuni Mchome alidokeza baadhi ya sababu zilizotolewa kwa wingi na wadau wa elimu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna ambae tayari amewekewa pesa,maana walisema wataanza kuwawekea pesa watu kwenye account zao tarehe 20/november?au ndo wamewatapeli watu bcoz ukipiga hata namba zao hazipokelewi?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
HABARI WANA JF KUNA MDOGOWANGU NI MUHITIMU WA KIDATO CHA 4 MWAKA 2012 NA MATOKEOYAKE SI MABAYA SANA MAANA ANA DIV 4 YA POINTS 27 MATH-C PHY-D CHEM-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIOS-D CIVS-D...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu. Nina mdogo wangu wa kike amemaliza form four mwaka jana. Amepata four ya 31. Ana D ya chem, bios, maths na kiswahili. Yaliyobaki ana F. Nilipo hapa nawaza asome chuo gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HABARI WANA JF KUNA MDOGOWANGU NI MUHITIMU WA KIDATO CHA 4 MWAKA 2012 NA MATOKEOYAKE SI MABAYA SANA MAANA ANA DIV 4 YA POINTS 27 MATH-C PHY-D CHEM-D GEO-D KISW-D ENGL-D BIOS-D CIVS-D...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ilikuwa mwaka 2010 wakati wa campaign za kikwete,akasema walimu ni..............! sa ivi vanaosoma kozi zisizo za ualimu wanaona wao ndo walifaulu mitihani ya kidato cha 4 na 6! na hawajui kuwa...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Nakichukulia kama ni chuo cha kibabaishaji kwasababu zifuatazo. 1.Hawako vizuri kwenye records keeping kwa mfano unaweza kurudishwa usiingie kwenye chumba cha mtihani kwasababu kumbukumbu zao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KWA UFUPI Mkuu wa Sekondari hiyo, Jasinta Assey alikiri na kusema kwamba vitendo vya uvutaji bangi na biashara ya ukahaba kwa wanafunzi wake, vinachangiwa na askari wa Kituo kidogo cha Stakishari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari,mimi ni mwl.wa shule za msingi napenda kuhamia Dodoma wilaya yoyote ile kama umepangiwa Dom na ungependa kuja mara call:0756079492,0783194892,0657853544.asante.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wanaojua msaada jamani kuhusu post za form five 2013
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ameyasema hayo leo akiwa mkoani Arusha akiongea na wadau wa elimu mkoani humo.Amebainisha kwamba masomo kwa darasa la kwanza yatapunguzwa na kuwa matatu:Kusoma,Kuandika na Kuhesabu (KKK).Source...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Mwanafunzi huyu ni mdogo wake na rafiki yangu,wao wanaishi kijijini ambako hakuna mambo ya mitandao kabisaa!! Nimuhitimu kidato cha 4 2012.matoke yake kama...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani naombeni mnisaaidie majina/websites ya vyuo vya afya vya serikari vinavyotoa cheti na stashaada:katika fani medical laboratory na clinical officer
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WATANZANIA WENZANGU, Hii taarifa nimeipata hivi pinde toka kwa mtanzania mwenzetu ambaye anasoma PhD Ujerumani lkn kwasasa yupo hapa Dsm akifanya Data Colection. Alikuja ofisini kwetu na katika...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
"Tulipoingia madarakani mwaka 2005 tulifanya mambo mawili muhimu kuhusu mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Kwanza uamuzi kwamba, mikopo itolewe kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma na vile...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
JAKAYA KIKWETE,MIZENGO PINDA,WAZIRI NCHIMBI, ZITTO KABWE,RIDHIWANI KIKWETE,NAPE NNAUYE. Ndugu zangu naombeni mnisaidie mawasiliano yao na yahitaji na nimuhmu sana.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa wale wasiofahamu MUST ni MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY.Ni hivi karibuni TAASISI imepandishwa hadhi ya kuwa chuo kikuu sasa nauliza kwa Wanaohusika ambao ni serikali ni lini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom