Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
Habari zenu wana jf nadhani mko poa hoja yangu hapa ni kuhusiana na matokeo mabaya ya form four 2012 . Watanzania wengi wana ona au wanachukulia kuwa ni serikali lakini...
Leo wanafanya uzinduzi wa ZINDUKA,
wapo Tandahimba Sekondari.
Wameunganika na baadhi ya shule zilizopo wilayani Tandahimba.
Huu muda ni wa vipindi darasani, lakini vimevunjwa.
Taarifa...
Chuo chaTiba (TIHEST), Reg No: REG/HAS/117P
Kina Tangazanafasi kwa mwaka wa masomo 2013/2014.
· Tabibu (ClinicalOfficer)
· Mtunza kumbukumbu za Afya (Health Record Technicians)...
Katika sekta ya elimu kuna tetesi kuwa walimu wengi hususan wanaume ni mabishoo dat means wakipiga pindi class mifano mingi siyo ya kuelimisha bali ni ya kuwapotosha...
Hatimaye walimu wote wa shule
ya sekondari lvuna ilioko kata ya
lvuna tarafa ya kamsamba wilaya
mpya ya MOMBA wamegoma
kuingia madarasani kuanzia leo tar
18.03.13 mpaka watakapo
tekelezewa...
Hi, evry body natumaini mko poa na michkato ya hapa na pale. Mimi nimehitimu four niko katka harakati za kutafuta chuo according to my pas credit nina c mbili kwenye...
Heshima kwenu wakuu
Katika pita pita zangu internet nimekutana na page ya chinese goverment sponsorship for internatinal students na nlikuwa nataka kuapply lakini katika process ya application...
KWETU TANZANIA: SABABU ZA UFAULU MCHACHE WA KIDATO CHA NNE 2012.
Shule za sekondari kuhamishiwa TAMISEMI. Watendaji wa Tamisemi badala ya kusimamia taaluma mashuleni, wanasumbua na...
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
HELLOW GUYS, naomba yeyote mwenye soft copies za aina yoyote ya study material au vitabu kwa level 4 (psptb), ambazo ni strategic proc, international proc, contract management na strat supply...
Hii serikali ya ajabu sana,kila siku inakuja na mambo ya ajabu katika elimu!tujiulize hapo zamani ilikua 3,jee nani aliyeleta masomo 6?alikua na sababu zipi obvious itakua ni utawazi,sasa kwa...
Habari zenu wana JF, Jamani samahani naomba mnijuze kama kuna mtu humu ndani anaejua chuo au taasisi yoyote wanayotoa course ya SAGE PASTEL EVOLUTION kwa Dar es Salaam, hii ni ACCOUNTING PACKAGE...
naomba kufahamu kituo kizuri kwa wanaorudia mitihani chenye hostel kati ya morogoro na dsm naomba tusaidiane maana kijana wangu kaharibu vibaya yaani hata ngazi ya cheti hapati.
Mwanzo ilikuwa mtu akisap somo akijasapua hata akipata "A" anawekewa "C*" Ila akicarry akipata "A" anawekewa hiyo hiyo aliyopata,lkn nimesikia sasa mtu akikeri hata akipata "A" anawekewa "C*". Je...
Na apply St.joseph college of engineering ila napata wakati mgumu kuchagua kati ya course hizi:
Civil engineering,
Electronic and Communication engineering,
Computer science engineer. kwa level...
Wakubwa zangu shikamooni. Poleni kwa majukumu! Kuna kipindi niliwahi kusikia habari zisizo rasmi ya kwamba serikali ina mpango wa kufuta TSD (Teacher's Service Department), na kuleta Bodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.