Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wizara ya Afya wametangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya Stashahada(diploma) na Certificate (Cheti) kwa kozi mbalimbali za Afya. Wadogo zetu changamkeni kutuma maombi. Soma hapa kwa maelezo zaidi...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Jessica Rocha of Fort Morgan, Colorado said that she had run out of disciplinary options to control her children's' bad behavior and that was the reason she planned on sending her son and her...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nianze kwa kumpongeza mh.Pinda waziri mkuu wa Tanzania kwa kuunda Tume ya kuchunguza matokea mabaya ya kidato cha nne 2012 ili serikali iweze kujiridhisha wakati inapanga mikakati ya kuboresha...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
What are the differences between TEACHING METHODS and TEACHING STRATEGIES. You may write possibly as you can Yours katika ujenzi wa Taifa.
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Ntayapataje kutazama matokeo ya mtihani kidato cha nne 2003?
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Hatimaye KISANDU akutana na wanachuo wa chuo kikuu cha mt.Augustino kwa muda wa masaa mawili na kubadilishana nao mawazo mbalimbali,aidha bwana Kisandu amepokea changamoto toka kwa wanachuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf nna mdogo wangu aliyemaliza primary mwaka 2011,kwa sasa umri miaka 20(a boy)..alifaulu mtihani ila wa kumuendeleza akakosekana,kipndi hko mm nilkuwa JKT nastrugle ckuweza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari JF, Ni asubuhi na mapema niko ktk shule moja iliopo manispaa ya temeke, kigamboni Mjimwema, shule ya msingi Mjimwema, shule ilio anzishwa miaka takribani 40 iliopita na bahadhi ya viongozi...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
.HABARI WANA JAMII mimi nimhitimu wa kidato cha nne, ningependa kujua taratibu za kupata nafasi ya kujiunga na DIT AU MIST, DIPLOMA. sikuchagua kupangiwa tech collg kabla ya kufanya mtihani, je...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
nimesoma habari ya kusikitisha kutoka Sauzi kwamba zaidi ya 28% ya wanafunzi wa kike wana HIV, ikilinganishwa na 4% tu wa wavulana. na kwamba hali imefikia hapo kwa sababu ya SUGAR DADDIES.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
atika mtihani wa kidato cha pili uliofanyika mwaka jana na matokeo yake kutangazwa Januari mwaka huu, mikoa ya Lindi na Mtwara ilitoa shule 10 za mwisho. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa taarifa niliyoipata toka kwa mtu wake wa karibu atazungumza na wanafunzi kwa masaa 2 kuanzia asubuhi na pia na atakuwa redio SAUT saa 10 jioni. Mwenye habari kamili atujuze au watakaohudhuria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Wana JF, Kwa ujumla mimi sikupenda kujiusisha na mjadala wa kwa nini Wanafunzi wa kidato cha nne wamefeli sana na nini tatizo. Lakini baada ya kukaa kimya nimepata jawabu la kuwasaidia hawa vijana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni mda huu naona picha zimebandikwa na Tangazo la kifo cha dada mpendwa wa mwaka wa I katika kitivo cha Humanities,alikua amelazwa zahanati ya MUCE Kwa siku10 na alikua anaumwa na tumbo na kichwa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
If you business operates in any capacity with the EU, is thinking of expanding operations, or sells manufactured products to the EU, it is in your best interest to stay on top of these updates...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
mi nkijana niliye hitimu kidato cha nne 2012 namshukuru Mungu nimepata div.2 ya 19 na mimi napenda sana masomo ya sayansi hasa comb ya PCB na CBG sasa nmepata iv PCB-dcb na CBG-cbc sasa wasiwasi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Asaalam, Naona mtu mwenye uelewa wa kuandika SP anisaidie.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom