Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habari zenu wana jf me nilikuwa naomba ushauri, nilimalza form six pcb mwaka jana na kupata div 3 ya point 14 malengo yangu yalikuwa kusomea udaktari ila kutokana na matokeo nilikosa chuo tcu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Askofu mkuu Josephat Lebulu wa Jimbo kuu la Arusha, Tanzania katika mahojiano maalum na Radio Vatican wakati huu Kanisa Katoliki nchini Tanzania linapoadhimisha Miaka 150 tangu Wamissionari wa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tar 17/11/2012 tulifanya interview pale UDOM ya assistant internal auditor, kulikuwa na nafasi nane, lakin kwenye shortlist wametoa jina la mtu mmoja tu,Kama kulikuwa na nafasi moja wangetuambia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Please Click here to enter our website for further details Rise Study...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Je results slip zishaanza kutolewa?utaratibu wa utoaji ni ule ule wa Sikh zote wa Kwenda wizarani na si kwa Shula husika? Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayetafuta kazi sasa umepata suluhisho la tatizo lako. Nafasi ya kazi ni Branch manager wa NSSF. Sifa za mwombaji awe anajua kusoma na kuandika, vile vile mwombaji anatakiwa awe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi JF Members I am looking for any qualified Tanzanians who wish to pursue their graduate studies through research, inbox me for more detail. The requirement for this opportunity is that...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Wanajf naombeni mchango wenu wa mawazo. Mimi ni mtumishi wa serikali nimefanya kazi miaka 8 nimejiendeleza na kupata shahada ya maendeleo ya jamii. Nifanyeje ili niweze kubadili idara, asanteni...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Choo cha shule Huduma za vyoo katika shule mbalimbali nchini inaonekana mbaya kiasi cha kutishia uhai wa wanafunzi na walimu wanaovitumia. Wataalamu wa masuala ya elimu na saikolojia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Choo cha shule KWA UFUPI Tafiti zabainisha shule nyingi nchini zina vyoo duni sana ukilinganisha na mataifa mengine Afrika Mashariki. Wasomi wasema vyoo visivyofaa huchangia maendeleo mabaya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu? Nahitaji orodha ya vyuo ngazi ya cheti hadi degree pamoja na gharama za hostel kuzunguka au karibu na maeneo yafuatayo; kati ya Kibaha, mbezi ya kimara, Kimara, Ubungo, mbezi beach...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012. Katika matokeo yangu nimebahatika kupata Div One ya point 11...PHY-A, CHEM-A, MATH-A, BIO-C, Additional MATH-B....ningpenda kujua kati ya A level na...
0 Reactions
62 Replies
18K Views
Salamu wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo Kahama mjini. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka manispaa za Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mtwara ili tubadilishane vituo...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
wadau naomba kujua chuo gani ni kizuri kusoma degree ya computer science?ushauri pls
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Hi all Tanzania Business School is now offering quality and high practical certificates. It offers certificate in Microsoft Offie, Certificate in Computer Support Technician, and many programs...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Mm n mhtm wa kdato cha nne mwaka jana na matokeo kiujumla kuna three moja ya peke yng shulen kwe2.Nmepata three ya 24 Phys:C Chem:C Eng:C Geo:C Math:d Bios:d Ksw:d Hstr:d Cvcs:f . . .Je...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii, hivi kweli ni haki kwa wizara kwenye tangazo lake kuandika kuwa imeajiri walimu wote wenye sifa wakati huo sio ukweli jamani? katika kipindi hiki ambacho inchi inashuhudia anguko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
deadline ya kuappeal ni lini? na je kuna faida juu ya hili?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom