Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu habari gani?, mimi nina Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne Mwaka jana 2012 kwa bahati mbaya aja bahatika kuchaguliwa ktk shule ya gava, kwa hiyo nahitaji kumpeleka katika shule yeyote...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
whom do you think must be blamed for these shamed form four results.......as for me there are two things involved....one most of teachers in gvt schools hawana uzalendo na kazi zao ila wanachoai...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwalimu kaacha kazi eti mazingira magumu kwa kuwa kwao ni mtoto wa mwisho,na huku hela ya kujikimu kachukua.Hiyo ikoje
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nifahamishe ni lini Tz ilianza kutumia (kutekeleza) sheria za kazi (Labor Laws)
0 Reactions
1 Replies
969 Views
"We need better teachers," a frustrated parent yells. "If you were parents, your kids would be better students," a teacher fires back, with just as much anger and frustration. Parent-teacher...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Mi nimefanya mtihani wa form 4 mwaka jana nimepata division 4 ya 27 na matokeo yangu ni haya bio c chem c phy d geo d kis d math f civ f je? hapo naweza kufanya kitu gani ambacho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
je ,kwa kila topic nikiasi gani ?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF. Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka 8,idara ya elimu nimejiendeleza na kupata shahada ya maendeleo ya jamii.naombeni mawazo yenu hatua zipi nifuate ili niweze kubadilisha idara.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwakawaida mwanzo wa Mwaka tunalipia hela ya hostel ya Mwaka mzima, lkn cha ajabu ukirudi semester ya pili hawakupi funguo wala godoro mpk ulipe Ada unayodaiwa.vp wananinyima chumba wakati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jf kunajamaa mmoja anaitwa bernard adam(mzaliwa wa irente mhelo lushoto) amezaliwa lushoto na kusoma lushoto. Kwa sasa anasoma masters of education chuo kikuu cha tumaini makumira mkoani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimefurahishwa sana na taarifa ya kuvuliwa madaraka kwa mkuu wa chuo cha ualimu korogwe na makamu wake. Niwapongeze kwa maamuzi mazuri ila bado wanahitajika kuongeza kasi kwa vyuo vingine...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
hi wanajamii Naomba kuuliza kwa hapo Tanzania kuna kituo chochote ambacho kinatoa review class kwa ajili ya hii mitihani ya CIMA hasa kwenye level ya mwisho? au ni mwendo wa online tu? maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja na wadau mbalimbali kuchonga kuhusu mlimani, Vyanzo mbalimbali vya habari vinataja kuwa University od Dar es Salaam ni ya 13 kwa ubora Africa. Na vilevile katika nchi zenye vyuo bora...
1 Reactions
54 Replies
20K Views
Nguvu ya soda inajulikana sku zote,matokeo yalipotoka kelele zilikua nyingi,waliofeli wengi ni watoto wa wapiga kura,naamini hakuna mtoto wa waunda tume anayesoma shule hizo,mpaka leo kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna maswali chuo bora,kwa Africa tuwachie Africa kusini,Maendeleo na huduma za jamii vinaendana,nchi zinazoendelea hakuna huduma bora za jamii,Tanzania haiwezi kua na chuobora kwa matokeo ya...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Nisaidieni natafuta shule ya a level Uganda ya wasichana kwa ajili ya binti yangu, anadiv 4 points 27. Kapata hist D, eng C, geo D, bio D, chem D, math D, kisw D. Naomba mwenye ufahamu wowote wa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mimi ni mwalimu hapa iringa-kilolo,nahitaji mtu wa kubadirishana naye,kwa aliye pangiwa Morogoro.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naona haya majibu ya kidato cha nne wote yametushtusha na kutufanya tuwaze zaidi, nini hatma ya hawa wenzetu, kwa mtindo uliopo sasa wa kusubiri uwe umefaulu masomo matatu ndio uende advance...
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Mwl(degree holder) alie ajiriwa mwaka uu na akaanza master mwaka uu.baada ya kumaliza master,je anaweza kupanda mshahara kutoka TGTS D to TGTS H1 moja kwa moja bila kupitia ngazi zingine za...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Naomba msaada wenu wana jf mm ni mwanafunz nilikubwa na hli janga la matokeo mabovu ya csee nimepata dv 4-29 nina d-6 na f moja cjui nifanyeje wana jf naomba msaada plz!!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom