Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

IFUATAYO NI ORODHA YA WALIMU WAPYA WALIOOMBA KUBADILISHWA VITUO VYA KAZI NA KUFANIKIWA KUBADILISHWA. KWA TAARIFA ZAIDI PAKUA AMBATISHO........ Document : kubadilishiwa vituo-final.pdf
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni kweli mitihani inarudiwa kusahiishwa naombeni nijulisheni
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kusema kweli hizi seminari zimenivutia kwa muda mrefu sana. Binafsi nilibahatika kusoma katika mojawapo ya seminari hizo. Kinachonivutia zaidi pamoja na mengine ni namna zilivyoweza kufanya...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Serikali imemvua ukuu wa chuo Mkuu wa chuo cha ualimu Korogwe Bw. Mwiga pamoja na makamo wake. Hii ni kutokana na ubadhilifu wa mali ya umma. Mkuu huyo amekuwa akilalamikiwa na watumishi wa chuo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
A formula for self-improvement is to first decide specifically what particular characteristics you desire to possess and then hold that image firmly in consciousness. Second, develop that image...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Wandugu natafuta matokeo ya kidato cha sita ya 2003.. Mawenzi high school
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakubwa kwa wale wanaofaham naombeni mnisaidie ni course ipi nzur kati ya comp engineering na telecom eng pale DIT
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani naombeni tushauriane wapi nimpeleke wapi huyu dogo mwenye marks zifuatazo maana baba yake amemsusa nataka nivae mabomu ya kumsaidia kumpeleka certificates kwenye chuo chochote cha uuguzi au...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa walimu kunyanyaswa kwa namna mbalimbali hapa nchini. TAZAMA HII: Mimi ni mwalimu ninayefundisha katika shule ya msingi katika halmashauri ya wilaya ya Masasi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
SIASA NA ELIMU Serikali yetu kwa muda mrefu imeiingiza Elimu katika siasa tasa ya Tanzania na kuuwa viwango tangu mwaka 1967. Na kuna lengo zima kwa Serikali kuisiasisha mno Elimu. Lengo lao ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba kuulizia na kujuzwa juu ya jambo hili la wanafunzi wa kidato cha nne wa mwaka 2012 ambao wamepata zero kwa kipindi cha matokeo yalivyotoka nikasikia kuna tetesi za kwamba watatakiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wanafunzi wa chuo cha sayansi na tiba KCMC kwa kozi za nesing na maabara wamefutiwa mkopo takribani nusu ya ada yote inayotakiwa kulipwa chuoni hapa yani ipo hivi kwa wanafunzi wa mwaka wa pili...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Je,tutafika,ebu mwone mwalmu huyu kwa mzigo aliona,je,sifur zitapungua na mshahara kiduchu,polen taifa la kesho,maana mmm!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
1 Reactions
0 Replies
835 Views
kuna dogo langu limepata phy-c chem-c math-c bio-b eng-c kisw-D civics-c computer-c geo-c yeye amechagua PCM ya kwanza,lakin Biology ana B je wanaweza kumpanga PCB
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tangazo limeambatanishwa
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Dear Intellectuals It's my moral responsibility to share with you the life changing lessons on the Parable of Pipeline. Hope you will find it useful and take required action as far as...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Hello Jf members,naomba ufafanuzi juu ya kusoma open university of Tanzania specifically kwenye faida na hasara zake! Naomba kuwasilisha
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Wakuu! Leo katika magazeti mbalimbali na taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari kuna walimu wanagoma kwenda vituo vyao vya kazi haswa mikoa ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
anahitajika mwalimu wa shahada, alie tayari kuja wilaya ya rungwe-mbeya,toka Morogoro-mvomero!! asiwe wa ajira mpya, tuwasiliane kwa 0753210877 ASANTE!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom