Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Ufundi Ifunda, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijijini, jana walifanya vurugu kubwa shuleni hapo na kutaka kumuua Mkuu wa shule hiyo, Bw...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Naomba kujua tarehe ya mwisho wa usajili wa mtihani wa kidato cha pili 2013 kwa sababu kuna ndugu yangu anataka kurudia kidato cha pili kutokana na matokeo kutokuwa ya kuridhisha msaada wenu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa kimawazo, Katika hali ya kutapatapa mwanangu kasomea certificate kwenye chuo fulani ivi ila baada kumaliza kapewa cheti kinachoonesha kuwa chuo hicho kimesajiliwa na veta...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wahitimu shahada za elimu kwa upande wa sanaa, sayansi na uongozi wazidi kukatwishwa tamaa na huku wakiendelea na hali ngumu(njaa kali) baada ya wazira kuendelea kupga kimya juu ya mpango wa ajira...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na mbunge wa kuteuliwa James Mbatia, amesema hayuko tayari kuwa mjumbe wa tume ya kuchunguza chanzo cha kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwenye mitihani ya kidato cha nne...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali imewavua uongozi walimu wakuu kufatana na matokeo mabovu ya mtihani wa taifa 2013(tz)
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
heshima kwanu wanabodi, Naomba msaada wa ufafanuzi namna TRA wanavyokokotoa mahesabu ya kodi yao. mimi nilikuwa mwajirika katika sekta binafsi na mkataba wangu uliisha dec 2012 na makusanyo...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
hi teachers, kwa yeyote alyetayar kufanya kaz wilaya ya kilindi mkoa wa tanga na anayepatkana wilaya za bagamoyo, kibaha, mkoa wa morogoro, kilimanjaro na dar, au hata hapahapa tanga anichek 0766...
0 Reactions
4 Replies
979 Views
Jamani kwa kweli mimi nina Division four ya point 30 hivyo familia imeamuru ni rudie mtihani. Naomba msaada ivi ufaulu unaanzia ngap kwa mtu anaye risit yani D inaanza na ngapi mpaka C, shule...
0 Reactions
37 Replies
14K Views
nashangaa sana kuona utitiri wa vyuo vikiwa vinatangaza kozi nakutangaza, kuwa vinadahili hata wale wanafunzi waliopata daraja sufuri katika elemu zao za sekondari, swali je ili mtu aweze...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuanzia tar 04 machi 2013, zaidi ya wanafunzi 1000 waliohitimu kidato cha sita walianza mafunzo ya Jeshi la kujenga taifa. Ni wazo zuri na sina pingamizi nalo hata kidogo. Mimi ni mmoja wa wadau...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na sikuweza pata matokeo yangu nina wenge sasa ivi sijajua la kufanya hebu nisaidieni
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kila nikijaribu kuangalia inagoma au ndio bado ina Load?
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Habari zenu jamani! Mimi nimepata IV ya 27 na matokeo yangu yalikuwa hivi CIV-F ENG-D GEO-F KISW-C HIST-F PHY-D CHEM-C BIO-C MATH-F Nilikuwa nataka nikasome form five shule za private...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikiwa kama moja kati ya wanafunzi tuliowahi kupitia ndanda sec kuna mambo mengi huwa nayakumbuka kutoka pale shuleni hakika yapo mengi sana ila machache kati ya hayo mengi ni; 1. Ngoma ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salamu wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo Kahama mjini, shule ipo katikati ya mji. Natafuta mwalimu kutoka Dodoma, Morogoro, Moshi. Tanga au Mtwara ili tubadilishane vituo. Mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Habari wadau, naomba mnisaidie hivi inakuaje hadi mtu anapata Scholarship kwenda kusoma nje? Je kuna masharti? Kama yapo ni masharti gani? Natanguliza shukran
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nisaidieni wana jf...napata ugum kuchagua hizi courses..naelekea mwaka wa 3 lakn nashindwa nifanye wap option zangu...najua kuna wazoefu watakao nielekeza kutokana na market huko mtaani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu Wa Jf Natafuta Shule Inayofundisha Pre-form 5 Kwa Comb Ya HGL Kwa Anayefahamu Anisaidia Iwe Ya Bording
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom