Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nimekuwa nikifuatilia matokeo ya rufaa zinazoombwa na watahiniwa wanapohisi kuonewa katika usahihishaji wa Mitihani mara baada ya Matokeo kutolewa na Baraza la Mitihani. Haya ni pamoja na matokeo...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Nilipotelewa na vyeti vya shule. Olevel na Alevel. Nimejaribu kuvitafuta nileenda TCU nikaangalia database ya wanafunzi walioenda vyuo vya elimu ya juu,nikidhani huyu aliyevichukua kaamua...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie kutambua Category niliyopo kwenye CAS, Nina qualification zifuatazo; >form IV-point 25 (NECTA-2007), >Grade IIIA teacher cert. (primary teacher) GPA 2.9 (NECTA-2010) na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimehitimu kidato cha sita 2013,nni vigezo gani huhitajika kujiunga na civil aviation college airport DSM na course zipi hufundishwa pale,na kwa ada gani?Anayefahamu anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nina kijana wangu hapa ameshindwa kuenda kufanya kazi sehemu aliyopangiwa na wizara ya elimu katika ajira mpya. Nimeona kuna majina ya walimu waliomba kubadilishiwa vituo na wakakubaliwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nafanya research yangu flani hivi.naomba madiwani,wabunge,mawaziri,Prensidaa,wakuu wa wilaya,maafisa elimu,wakurugenzi na mataita vitengo mbalimbali serikalini wenye watoto wao shule za kata...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Kama 75% ya waliohitimu mwaka jana walipata div 0, 20% div 4 na waliobaki wakagawana 1-3 (div 1 ilikuwa chini ya 0.5%)... Hizi ni data za shule za kata exclusively... Je kuna haja wa mwanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ushauri wenu kaka zangu na dada zangu,mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza nasomea bsc in medical laboratory technology india,kabla ya kuingia hii faculty lengo langu langu lilikuwa kusoma...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnijuze kati ya medical assistant na clinical assistant ipi bora interm katika maslahi ili niweze kusomea kati ya hizo mbili naombeni mnijuze wakuu?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mipango inayoandaliwa na watu au taasisi yoyote ile kufanya maandamano ya kumng'oa Kawambwa na naibu wake Mulugo ni haramu na dhaifu. Sekta ya elimu ni pana sana na ufaulu wa mwanafunzi hautegemei...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Walimu wenzangu ili mnalionaje moevt imeacha baadhi ya walimu ambao wamesomea fani ya ualimu na kuajiri watu wenye taaluma nyingine kama walimu. Hususan mwaka huu walimu wengi wameachwa, na watu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kutoka Mabibo Hostel: inasikitisha sana na kuhuzunisha kuona watoto wa wakulima wanaotafuta shahada ya elimu ya juu (university) ndani ya chuo bora kabisa Tanzania na Africa kwa ujumla.Je...
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Nataka kufanya changes katika masomo niliyosajili mtihan wa csee kwa kutumia mtandao lakin system haikubal naomba msaada,nimesajil masomo ma4 nataka nipunguze yabak 3!Ntafanyaje wajamen naomba...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
pamoja na kuwa walimu katika serikali iliyoko madarakani tumebezwa mpaka na viongozi wa ngazi ya juu kua wanajua kua "we are underpayed" na kama tunaona kazi hii ni ngumu tuache kazi, still hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Habari za wakati huu. Ninauza vitabu katika mfumo wa sauti (audio books). Vitabu katika mfumo wa sauti ni vitabu ambavyo unavisoma kwa kusikiliza kitabu kwa sauti katika radio, tv...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
jaman msaada wenu kati ya hizi course mbili ni ipi kwa mtazamo wako itakua course kali na yenye maslahi ktk hii dunia ya DIGITAl 1.INFORMATION SYSTEM AND NETWORK ENGINEERING 2.ELECTRONICS...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jaman mnisaidie maana Form 4 div I ya point 13 lakin form six nimefeli sasa kwa kutumia matokeo ya form 4 ntaenda chuo gani? ALLAN E PYUZA Matokeo yangu ni civ-C,hist-C, kisw-B,Geo-C,Engl-A...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 na namshukuru Mungu nimepata division 2 na mimi napenda sana CBG na EGM sasa nawaomba wana JF mnipe ufaham kidogo kuhusu comb izo mbil kwamb je wap...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Asilimia 80 ya watu wote wanaoajiriwa (global data) hupata kazi kutokana na networking na 20% waliobaki hupata kutokana na application... 90% ya watu wote wanaotafuta ajira hutegemea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom