Institute for the Study of Diplomacy(ISD)-Georgetown University(USA) is offering Scholarships to International Student for Diplomacy study.
Requirements for Diploma Level
-Certificate of...
Habari zenu wana jf nafkiri mko poa!
Wakubwa mnisamehe sana kwa hili nina shida na website za vyuo vya goverment nataka ni download form za kujiunga na vyuo naombeni...
Mwalimu mmoja ameripoti kwa ajiri ya kuanza kazi kama walivyopangwa hivi karibuni, mkuu wa shule kampokea halafu akamkaribisha alale store, chumba ambacho hakuna Hata dirisha, huyu mwalimu...
Leo ktk shule hii wanafunzi wamepiga mawe walimu na kuvunja vioo vya shule nzima,ililazimu polisi wa kutuliza ghasia kufika eneo hilo na kutuliza hali ya hewa.
Chanzo cha habari rasmi kinadai...
Wana jamvi wenzangu nisaidieni katika hili, kwasababu ukienda mashuleni wanakodai wametuma unaambiwa hawajapelekewa. Kama kuna anaye jua undani wa jambo hili naomba anifahamishe.
wakuu heshima kwenu.
Naomba msaada kwa anaejua wapi ntapata shule kwa ajili ya mtoto wangu ana 5yrs. shule nzuri na nikijua ada kwa mwaka nitashukuru sana.
Asanteni kwa msaada
Nina mdogo wangu anataka kusoma iyo kitu.so kama kuna mdau anaifahamu ii kozi.market yake na maeneo gani haswa anawez akafanyia kazi.Natanguliza shukrani
Ndg zangu mtandaon nahtaj kwenda kusomea udaktar wa mifugo kwenye vyuo vya serikali ngazi ya diploma,vp jnc ya kutuma maombi maana mtandaon kwenye wizara ya mifugo cjaona nafac zikitangazwa ilhali...
Ndugu, naomba kujulishwa na wale ambao wana utaalamu na mambo ya barabarani haswa hapa kwetu bongo. Mara nyingi ukiwa unasafiri inatokea madereva wanapeana ishara, mfano kwa kuwashiana taa full au...
Leo 19/03/2013 Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii imefanya ziara ya kutembelea shule mbalimbali Wilaya ya Bagamoyo na kukagua miradi mbalimbali ya TASAF kama vile ujenzi wa madarasa,maabara...
Leo 19/03/2013 Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii imefanya ziara ya kutembelea shule mbalimbali Wilaya ya Bagamoyo na kukagua miradi mbalimbali ya TASAF kama vile ujenzi wa madarasa,maabara...
Habari wadau wa elimu!
Matokeo ya kidato cha nne 2012 yalishatoka, yaliyo tokea ni DEBATABLE ISSUE, lakini tunapaswa kuganga yajayo huku tukitafakari nini cha kufanya, MAANA maisha yanasonga...
Chuo kikuu cha DODOMA kimeshindwa kutoa TRANSCRIPT kwa wanafunzi waliohitimu katika chuo hicho mwezi Juni 2012.
Wengi wao wanapoomba kazi wanatumia STATEMENT OF RESULTS ambayo haitambuliki...
Jana niliaidi kueleza japo kwa ufupi tu kile kinachoendelea kwenye taasisi ya umma tena ya elimu ya juu ambapo asasi za kijamii, taasisi binafsi, mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NGOs)...
Mimi nimehitim kidato cha nne,lakini siko vizuri kwa upande wa lugha ya kiingereza.kuongea na kuandika,Je niende kusoma ili niweze kuijua hiyo lugha viruri?kwa anaye jua please
Sent from my...
:yo:NDUGU watanzani hebu tukae tujiulize wapi tuendako. Wahengana walisema ukitaka kumtawala mtu vizuri usimpe vitu mhimu viwili ambavyo ni elimu na chakula, leo hii tunaona taifa linavyoandaa...
:yo:NDUGU watanzani hebu tukae tujiulize wapi tuendako. Wahengana walisema ukitaka kumtawala mtu vizuri usimpe vitu mhimu viwili ambavyo ni elimu na chakula, leo hii tunaona taifa linavyoandaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.