Tanzania International University (TIU) is offering access programme to form four and form six leavers. The programme aims at upgrading the academic status of both levels to enable students to...
mwenzenu nipo ubungo hapa nataka kwenda st. joseph university..nimeambiwa kipo kimara lakini sijui nishuke kituo gani huko kimara au sijui mbezi..naombeni mnisaidie
Hii ni ajabu kweli kweli kwa nchi inayotafuta wataalamu katika kada mbalimbali!!hebu angalia maajabu ya badhi ya wizara zetu hapa nchini,zinatangaza nafasi za kujiunga na masomo katika madaraja...
SABABU ZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KUWA MABAYA NI HIZI HAPA:
Shule za sekondari kuhamishiwa TAMISEMI. Watendaji wa Tamisemi badala ya kusimamia taaluma mashuleni, wanasumbua na kuharibu taaluma...
sm stuations they frustuating and irritating to like fragyl tabs , nothing u can do about it and u have always hve this feeling of kuwa sikuzote huwa unavutwa vutwa 2 kufanya vitu vingine hata...
Samahani wana jf ...nataman kufanya kazi ktk ofisi za TAKWIMU TANZANIA...na mimi nasomea BA in economics.....je kunauwezekano wakuja kufanya kazi katika hizo ofisi baada yakukamilisha masomo...
Tanzania yetu80%Watu huishi vijijini,Watumishi hasa waalimu wanapopangiwa mfano Lindi,Mtwara,Kigoma,Rukwa,Shinyanga,Mara,Ruvuma,Singida na maeneo mengi ambayo sijataja,Unadhani kwanini watu wapo...
Pamoja na kuonekana kuwa serikali imeandaa hadidu za rejea, serikali inaonekana inasisitiza zaidi kuichunguza zaidi NECTA. Naona amesisitiza zaidi utungaji, usahihishaji na uhalisia wa mitihani...
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China. Admissions open for 2013 session. Scholarships available for limited seats only. Contact us for scholarship...
Nasema mpaka 2015 Tanzania na watanzania watakuwa wamenyooka. Yaani kaanza na elimu kwa kuthibiti mianya yote ya kuvuja mitihani, unaona sasa kiama cha wanafunzi kufeli. Ingawa pia na vijana...
Good morning Sir,
Pliz my name is ************ I am finish fom for. Ze everybody is to say we get za divishen 0, My part I am saying not I am not get divshen 0. I am vere vere intelijens, but...
Binafsi huwa napata sana shida kubaini uwezo wa hawa watawala wetu kifikra katika kutatua matatizo mbalimbali yanayoikabili jamii yetu. Kwa hivi sasa taifa letu limekumbwa na tatizo kubwa la...
WAKATI wananchi wakisubiri kutangazwa na kuundwa kwa tume ya kuchunguza chanzo cha wanafunzi wa kidato cha nne kufeli, Kaimu Katibu wa Mufti Zanzibar, Sheikh Thabit Noman Jongo, amesema chanzo...
NINASHANGAA NCHI YETU INA2MIA NOTI ZA AINA MBILI KWA ZAIDI YA MIAKA MIWILI NA HAKUNA UFAFANUZI WALA SABABU ZILIZOTOLEWA. ETI, HAYA SI MAUJANJA YA WANASIASA KWELI???? NAONA KAMA NI KUBADILISHWA KWA...
Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea, ni zaidi ya miaka miwili sasa imepita huku nchi yetu, Tanzania ikiwaa inatumia noti pesa za aina mbili. yaani kuna noti kubwa na ndogo, mbili tofauti tofauti...
Ni muda sasa nimesikia kuhusu hiki chuo kipya cha kilimo cha katavi. Naomba kujua mambo yafuatayo:
udahili wa wanafunzi ulishaanza?
vipi kuhusu ajira za wahadhiri?
naomba waliopo karibu wanipe...
Wana Jf hamjambo? Asanteni kwa ukaribisho.
Jaman ile tume ya kuchunguza sababu za wanafunzi kufeli mwaka 2010 majibu yake yalifanyiwa kazi au ilikuwa usanii