Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

hello,, hope mko poa humu.. nahitaji mawazo yenu hivi katika hizi degree tatu 1. Barchellor ya IT 2. barchellor ya business administration 3. barchellor ya procurement and supply je ni ipi bora...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimemwangaliwa waziri wa Elimu wa Kenya akitangaza matokeo ya KCSE muda mchache uliopita kupitia Citizen Tv. Kwanza alitanza amejiamini, ana furaha, anapigiwa makofi. Amesema kuwa kiwango cha...
0 Reactions
81 Replies
11K Views
Naomba kuuliza wana jf nikiitaji kupata kibali cha kufungua shule nafata prosses gan ?nataka kusajili shule ya primary na awali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana katika malumbano ya hoja ITV nilidaka Point kuwa,japo form6 wamefanya mitihani yao ila mtaala ulibadilishwa na walimu hawakua na semina,je matokeo yakiwa kama form4,TCU Watapata wapi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman naombeni muniambie hatua za kufuata ila kuhama toka shule za day kwnda shule ya boardng?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
this is pure politics, imagine waliomaliza form six 2012, baadhi yao wanaripoti JKT wiki ijayo, sasa na wao wakitengeneza 0 za kuvunja rekodi watakimbia au watadumisha uzalendo kwa nchi yetu...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Mimi ni mwalimu wa secondary nimepangiwa Lindi(Nachingwea) naomba info wanaopafahamu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ufaulu (Division 1-3) wa kidato cha nne umekuwa ukishuka kutoka asilimia 26 mwaka 2006; 17.85% mwaka 2009; 11% mwaka 2010; 9.98% mwaka 2011 na mwaka 2012 ni 5.16%. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada utaratibu jinsi ya kuunga na diploma ya kilimo toka certificate!?ndo nko namalzia semester ya mwsho chuo cha MATI-MTWARA!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau mi nimepangiwa iringa natafuta mtu aliyepangwa mwanza au karibu na mwanza tubadilishane get me via 0753985758 au 0717846314
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu wadau naomba kujuzwa shule nzur kwa ajir ya wasichana iwe ya boarding na combination za science ,kuna kijana wangu nataka nimtafutie shule amefaulu masomo ya science amepata div...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwenye vyombo mbalimbali vya habari niliona maandalizi ya kutoa tuzo ya walimu walio fanya vizuri kitaifa. Je kutokana na matokeo ya mwaka huu kuna haja ya kutoa hizo tuzo?. kwangu mimi naona kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ninaangalia citizen tv wanatoa matokeo ya kenya na shule ya kwanza kitaifa ni moi high school, je majina yanapotumika ktk shule kunajitihada za muhusika kuendelea kuona jina lake halitumiwi kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman matokeo yameniacha vibaya na sitaki kuludia shule,naweza kusoma nini na matokeo yangu ni division four point 33,naomba ushauri maana nahisi kukata tamaa.
1 Reactions
86 Replies
74K Views
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo, amesema wizara haina mpango wowote kwa sasa kuhusiana na wanafunzi waliofeli kidato cha nne mpaka pale Tume itakapomaliza kufanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za kazi,Shule,kulala nk Jamaniiiiiiiiii naombeni msaada kuhusu namna ya kupata centre ya kurudia mitihani aw kidato cha nne(wale wa division 0).....Nimeenda makongo nikaambiwa elfu kumi na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, Kuna watu wamepewa hela na kuzunguka kwenye Vijiwe na kwenye Daladala Kazi yao kubwa imekuwa ni kuwaponda Waalimu na Wanafunzi kwenye swala hili la Matokeo ya form four kuwa mabaya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nahitaji shule nzuri ya A-level yenye comb za PCM,PCB na CBG iwe private sehemu zenye baridi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mwenye ujuzi na hisabati naomba anielekeze jinsi ya kuandika elfu kumi kwa kirumi
0 Reactions
5 Replies
23K Views
Tume itakayo mhoji mwalimu eti kwa sbb wanafunz wamefeli itakuwa imekosea kabisa, Wakuu wa shule weng nchn ni maadui kwa walimu wao, maana wanamtumikia bwana Serikali ni ya mungu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…