Wana Jamvi,
Ninamwomba Dr. ndalichako anipe ufafanuzi kuhusu mambo ambayo nitayaeleza. Ni mawazo yangu binafsi ila yananikera.
Dr Ndalichako alinifundisha somo linaitwa educational measurement...
Napenda kuwatarfu wana jf na walm wenzangu kuwa serkal ime2kumbka kwa kutoa post ze2. mie nmepangwa liwale lindi, wenyej wa huko npatien uzoef wa jamii na pakoj kw mazingra afu toka mza had huko...
Utunzaji wa kuku wa kienyeji ni rahisi ukilinganisha na kuku wa kisasa, tangu wakiwa wadogo hadi wakubwa kwani chakula wanachohitaji kinapatikana kirahisi lakini pia hawashambuliwi na magonjwa...
Baada ya kuipitia hii ripoti nimekubali kuwa something is seriously wrong kwenye sekta ya elimu nchini na tusipochukua hatua za kuweka mambo sawa haraka tutaishia kuwa taifa la ma mbumbumbu!
KKN
jaman mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 ninachoomba kuuliza ni kwamb nasikia kuna faculty ya maswala ya gesi ambayo imeanzishwa pale (d.i.t) na (m.u.s.t) na mimi nilijaza technical...
Kwa wastani matokeo sio mazur nchi nzima,lakini kwa nini sasa walimu walio pata madaraja ya 1 na2 wasipate promotion.kwani kuna baadh ya wilaya hakuna daraja 1 kabisa.Tumezoea kuona baadh ya...
Wiki iliyo pita Maafisa idara ya elimu Singida walitembelea Ngorongoro kuvinjari huku shule zao zikiwa zimefelisha vibaya kwenye mitihani ya taifa.
Elimu ya msingi ni kati ya wilaya duni na...
L-R: Head, Group Marketing , Interswitch, Mrs. Enyioma Anaba, Students of Doregos Private Academy, Corporate Affairs Manager, Mr. Osagie Ogunbor, Doregos Private Academy, Head Teacher, Mr. Lawal...
hv ni kweli mtian wa form four ambao matokeo yao tumepata kwa sasa ni kweli wanatakiwa kurudia mtiani????.........maaana wana JF kwa sasa mitaani wadogo zetu wanasema kwamba wameambiwa na walimu...
Habari wanajamiii,
nilikuwa nashida kuna ndugu yangu anatakaa kwenda kusomaa United States International University(USIU), sasa amepata matokeo yafutayo form 4, D=7 na C=2(Div 4 point 26)...
Kwa walimu wote wanaotakata software kwa ajiri ya kupunguza picha(passport size) za wanafunzi wa form4 kwa ajiri ya usajiri kutoka utakapo na kufikia Less or equal than 4kbs, Wawasiliane nami...
msaada juu ya qualification za applicant anaechukua certificate ya procurement chuo cha TIA, every each quality.
kwa wale wanaojua hili swala nisaidieni.
Mheshimiwa habari?
Nakusalimu kwa kuwa najua we kupitia JF si haba, mara 5 kwa siku sio mchezo!
Ila napenda kukuuliza kuwa vipi ule mpango wako wa kusaidia vijana wa jimbo lako kitaaluma ukoje...
Ndugu wana jamvi taarifa zilizopo kwa sasa ni kuwa raiskuna baadhi ya watu wamejifungi mahali wakijadili vipaumbele sita ambavyo rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania aliviainisha ambavyo...