Habari zenu wana janvi,kuna taarifa za kuhuzunisha kutoka Chuo cha Sayansi ya Tiba UDOM! Mwanafunzi wa kike aliyejulikana kwa jina la Sylvia aliyekuwa mwaka wa pili akisomea shahada ya Udaktari wa...
Serikal ya tz kupitia kwa Rais wa JMT waliahid kuajir walim wapya wa ngazi zote kam 28746 mwez january2013, na pia naibu wazir wa elim P mulugo katika kpndi cha dkk45 cha ITV aliahid wizara yake...
Nimekutana na tangazo kuwa kwa mara ya kwanza kozi ya hii itatolewa bongo kwaniza june ,nimegoogle naona iko poa ila naomba mdau aliyepitia anipe idea ikoje?
Hi, wanajamii nina furaha kubwa kutokana na mafanikio makubwa niliyoyapata tangu nianze masomo hapa chuo kikuu cha dodoma. Ukweli nilipewa wazo na mwenzangu ambaye anachukua masomo yake UDSM na...
Hatari ya wanafunzi wa chuo kikuu kujiuza kwa awamu nyingine inanukia baada ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutojua hatima ya maisha yao, hali hii inatokana na kutojua tatizo liko wapi na kwanini...
ndugu wana jf naomba kujua ambaye alisha wahi soma online kozi za BIASHARA vyuo vya marekani maana nategemea march nianze shule
1; sijui ugumu wake na kama kuna usumbufu wa kufanya nishindwe...
jinamizi la wanavyuo elimu ya juu linazidi kushika kasi katika nchi hii kwa wanavyuo kuzidi kusoteshwa na bodi ya mikopo HESLB. Katika chuo kikuu cha dodoma UDOM wanafunzi wa mwaka wa kwanza...
Mimi mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dodoma na tangu nianze masomo nilikuwa nawaza namna ya kuwasaidia vijana ambao hawakufanikiwa kuendea mbele na ambao hawajui wafanye wafanye nini...
Some students graduating from various universities in Tanzania have reportedly been buying research papers from friends, relatives and even conmen, which are then submitted as original work to...
Leo nimesikia habari kuna mzazi amegoma kumpeleka mtoto wake shule kisa mtoto amemaliza darasa la saba hajui kusoma wala kuandika!according to mzazi huyo mtoto amerudia darasa la saba mara...
Hama kwa hakika watz 2meshindwa kuwa wachunguzi wa mambo, hv unazani serikali inashindwa kutoa AJIRA au wanataka Walimu waajiriwe kwnye sekta nyingine ili idadi ndogo ya walimu wakiajiriwa...
Nilisikia habar hii naskia kwamba wanafunzi wanapo maliza kidato cha sita wanatakiwa kujiunga jeshini kabla ya kuendelea na masomo ya chuo kikuu .Si dhani nilazima kwa jambo hili kufanyika japokua...
Ni kwa mda mrefu sasa shule,vyuo na taasisi nyingine zinazotoa huduma kwa jamii huku zikimilikiwa na makanisa hasa kanisa katoliki yamekuwa yakijidadavua kuwa na malengo ya kuwasaidia watoto na...
walimu kila kona ya nchi hii wamekaa kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea huku wakihamasishana kufelisha kwa nguvu watoto wa tanzania je wadau kizaz cha tanzania inayokuja itakuwa ya aina gani...
Habari zenu wanaJF. Ninahitaji msaada wa kupata matokeo ya Form 2 kupitia kwenye mtandao. je kuna yeyote anafahamu jinsi ya kuyapata? Naona NECTA wala Wizara hawajaweka mtandaoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.