mimi ni mwalimu,grade 3 je ninawezaje kusoma course nyingine tofauti na ualimu huku nikiendelea na kazi yangu kama kawaida?.au nichuo gani ambacho naweza kusoma course yoyote ile huku nikiendelea...
Benki ya Stanbic TZ imeingia makubaliano na Shirika la Kuhudumia Watoto (Unicef) kwa kutoa sh250 milioni, zitakazotumika kwa muda wa miaka mitatu kwa ajili ya kusaidia mradi wa WASH kwenyd shule...
Leo hii nimekaa chini na kujiuliza kwanini maandamano ya IFM yaliyokuwa hayana chembe ya fujo yalizimwa kwa nguvu kubwa? hiii ni baada ya leo kuyaona yale ya St John University yakisindikizwa na...
Katika shule niliyohtim mimi inaiyoitwa Nakoza Secondary ni robo ya wanafunzi tu ndo wamefaulu mtihani wa kidato cha pili sekondary ye2 ni ya kata kwa hyo kila m2 anaish kwao....sasa KUTOKANA NA...
Wana JF wakubwa Shikamoo wadogo marhaba ( Umri wangu miaka 47 iliujue kama unastahili shikamoo au marhaba) Naomba mtu yeyote anayefahamu Shule ya Sekondari Boarding Seminary Nzuri kwa waschana...
Bado navuta tafakuri ambayo wakati wote inapelekea nijiulize maswali mengi ambayo kwa bahati mbaya nimekuwa nikishindwa kuyapatia majibu.Mfano wa swali mojawapo la msingi ambalo ni kati ya yale...
Taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kuwa huko Dodoma wanachuo wa St. Johns waandamana kupinga vitendo vya wizi na ubakaji vinavyofanywa na vijana wa kihuni pembezoni na ndani ya chuo hicho...
Nigerian Rapper Don Saint is out with a new book "Emancipation From Masturbation'. Don Saint is the second Nigerian Hip Hop Artiste after Naeto C to obtain a Masters Degree in Religion and Human...
jamani nimehtimu kidato cha 4 mwaka 2007 na nika awarded na div two.baada ya hapo nilienda advance kusoma.HGL nikawa awarded div 3 point 15,
sikuomba chuo kwa kuogopa kusoma ualimu,kwasbb nilijua...
KWA KAMISHENA WA ELIMU
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI,
MAKAO MAKUU DAR-ES-SALAAM.
Yah: WARAKA WA ELIMU NAMBA 5 WA MWAKA 2012 KUHUSU MAREKABISHO YA MIHULA YA SHULE ZA SEKONDARI NA VYUO...
Wadau,
Tumeshuhudia wanafunzi wengi wakifeli darasa la saba wanavyosota mitaani bila mahali pa kwenda, hasa wazazi wao wasipokuwa na uwezo wa kuwapeleka shule binafsi.
Kwa sababu hii pia, bila...
Viongozi wa UDOSO mnasubiri nini kujiuzulu? Wanafunzi wa UDOM wanaishi bila mikopo kwa zaidi ya miezi mitatu chuoni na wakati nyie mpo??kama mmeshindwa kutatua matatizo ya wanafunzi wenu...
Ni maswali ambayo yananitatiza kila siku, katika shule ya sekondari ya serikari ambayo ninasoma kuna utaratibu wa kuletwa waalimu ambao ni raia wa kigeni hasa marekani kuja kufundisha Wanakaa...
(1) Mimi nimepita chuoni, au (2) Chuo kimenipitia mimi!
Tafakari na ujibu ukilinganisha na wasomi wetu (kwa idadi kubwa) hapa Tanzania. Kuelimika ni kubadilisha tabia na mwenendo huku...
Habari zenu wana jamvi,
Nasikitika sana wanafunzi vyuo vikuu mwaka huu kukosa mikopo haaswa mwaka wa 2,3 na 4.Wanafunzi hao hulalamika sana na kufikia hatua kwenda bodi ya mikopo wenyewe kudai...
Habari zenu wana JF,
Mimi ni mwalimu ninatafuta sehemu ya kufundisha part time somo la Kifaransa.Nina shahada ya Elimu na uzoefu wa miaka 2.Niko tayari kufundisha kuanzia primary school,sekondary...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.