jamani mie ni mwanafunzi mwaka wa kwanza ...flani cha serikali hapa dar...nasoma bachelor of science in computer science....ila mara kwa mara nikiwa na wenzangu tukiwa tunapiga stori na...
BRAIN DAMAGING HABITS
1. No Breakfast
People who do not take breakfast are going to have a lower blood sugar level. This leads to an insufficient supply of nutrients to the brain causing...
za kigeni zinazozungumzia maswala ya accounting and finance...nimejaribu kugugo mwenyewe zinakuja zile ambazo ziko inactive/zina reply chache....reason is,i am going to do a diploma in accounting...
naomben mnsaidie hiki kitu kwa wazoefu ,,mimi mwaka jana niliomba mkopo kupitia heslb nkafanikiwa kupata ila ni kidogo sana na nmesoma pcm nmesoma private o levo na advce sasa nlikuwa nahtaji...
Nipo hapa tz nimempeleka mtoto wangu shule inaitwa Yemen ipo hapa Dar, shule ambayo unalipia sh.milioni moja kwa mwaka kwa primary.mtoto wangu Alifanya interview na akapasi vizur lakini cha...
jamani...kwa wanafunzi wa udsm....na wafanyakazi wa hapa ....chuo kikuu.....kuna vibusi ambavyo vimeletwaa kwa ajili ya kutoa huduma kwa wanafunzi na wafanyakazi tokea chuo....mpaka mabibo...
Wanafunzi wapatao 5000 hivi wa chuo cha St John wanaandamana kutaka jeshi la polisi liwajibike kwa mauaji yanayoendelea kutokea ndani ya chuo yanayofanywa na vibaka na majambazi.
Ikumbukwe juzi...
Wakuu nimejaribu kwa muda wa week nzima sasa kujaribu kujaza form za mkopo kwa ajili ya ya ndg yangu anayetarajia kujiunga chuo mwaka huu. Licha ya kufanikiwa kupata Password na username baada ya...
Ktk kipindi cha Jenerali ulimwengu cha channel ten cha leo tarehe 25 January, imebainishwa matokeo ya kidato cha 2 hayakuwa halisi. Takwimu zilipindishwa kuushawishi umma kuwa kiwango cha elimu ni...
Ni chukizo kwa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kuitelekeza kada hii,kwani hivi sasa wakaguzi hawa hukaa ofisini na kusubiri mishahara,hawana mori ya kufanya kazi.hawana vitendea kazi,hawawezi...
Habari wana JF! ninajambo naomba mlitolee mawazo na mada hii ni kwa mara ya pili naiweka mezani ni ili tu kupata mawazo na ufumbuzi toka kwenu juu ya jambo hili, kabala ya kulisema ngoja nikupeni...
Habari wanajamvi kuna kitu ambacho kamwe siwezi kulisahau hasa masuala ya migomo chuo kikuu cha Dsm (UDSM) nakumbuka sana pale wanafunzi walipokua wakipata hadha ya maji katika kampasi kuu (MAIN...
Wasomi( Walimu na wanafunzi) zaidi ya 70 wapewa 5000 ili wapokee kadi za CCM tarehe 26/1/2013 kwa Philip Mangula. Kama wasomi mnakubali kuhongwa 5000 je tulioko Vijini hatujui vizuri Madudu...
Mwaka jana nilipata habari kwa rafiki aliyekua UDOM Kua jamaa kajirusha gorofani akajiua,Chuo cha Dar es Salaam matukio ya watu kujiua ni kila mwaka,na huko st Augustine sina tarifa na kwingine...
nimehitimu form 4. Nina
alama hizi kiswahili
B,geography B,english
C,history C,civics B,physics
D,chemistry D,biology
C,mathematics D.
Jaman nahtaj kwenda moja
kwa moja nikasome
diploma...
Watanzania na wa East Africa changamkieni
E Media competition
Media competition 2013: Investing in agriculture The Future Agricultures Consortium and PLAAS are inviting journalists and media...
Umoja wa Serikali za Wanafunzi Zanzibar.uliojitokeza na kutamba kuwalinda wanafunzi wa Zanzibar imekaa kimya bìla ya kutoa tamshi lolote au kusaidia kuchukuliwa hatua za kisheria kwa kondakta...
Many are flag thinker and some moderate thinker but more than 95% your just a flag.
Guys school is every day thing don't be affixed with your academic archirvment of 80s or 90s this is not the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.