WATAHINIWA wapatao 2,602 wamefeli mtihani wa bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu [NBAA]
Tarifa iliyotolewa na bodi na kusainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wake, Pius Maneno ilisema jumla ya...
Katika hali iliyojili leo hapa UDOM KITIVO CHA ELIMU, Kila mtanzania mpenda maadili anapaswa kuupongeza uongozi.
Inasemekana zaidi ya wanafunzi kumi na, wametimuliwa chuo kwa kosa la kuvaa mavazi...
:flock:Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha mwenge(moshi).ninasomea hesabu na takwimu (BS IN MATHEMATICS AND STATISTICS) hivo basi mwezi ujao (mwezi wa pili) tunatakiwa kufanya fieldwork katika mikoa...
Hey guys if any of you got some links which have a pile of exams, notes, practicals just post in here:
I HAVE FOUND A COOL LINK JUST GET IN ONE OF THE FOLLOWING
1. http://202.82.16.155/bss/...
jamani ndugu zangu nina shida kweli na matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006, hususani ya Morogoro Sekondari mwak 2003 na Kigurunyembe Teachers college private candidates mwaka 2006
Ndugu wadau wa elimu,
Tunafahamu kuwa kazi ya kutoa huduma ya elimu nchini Tanzania inafanywa na serikali na sekta binafsi. Serikali inajukumu la kuandaa sera, mitaala na kutoa miongozo kuhusu...
miongoni mwa mambo nisiyoweza kuelewa ni nadharia ya mageuzi. Nadharia hii ya kisayansi naiona kama jambo lililopitwa na wakati. Katika nyakati hizi za maendeleo ya kisayansi tuliyofikia haiingii...
Ndugu zangu nimekuwa nikikatishwa tamaa sana juu ya changamoto ya masomo ya geograph na mathematics kuwa ni magumu sana kwa elimu ya juu hususan ktk elimu ya chuo kikuu, na katika machaguo yangu...
Nakumbuka sSerikali, kupitia Wazara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ilisema itatoa viwango vya ada kwa shule binafsi kuanzia mapema mwezi Januari, hivi sasa shule zimefunguliwa, wazazi wamelipa...
Hatimaye wizara ya elimu imetangaza matokeo ya kidato cha pili huku mkoa wa dar es salaam ukionekana ni mkoa ulioongoza kufelisha wanafunzi
source=wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
nashindwa kuelewa ni kwa nini maprof na viongozi wa udsm wanashindwa kufungua matawi ya chuo hicho na ndio chuo kikuu cha kwanza hapa tz,pia wanashindwa hata kufungua mikoani achilia mbali nchi za...
Wana JF naomba ushauri..Nimehitimu kidato cha nne nikapata Div 4 ya point 28,Nahitaji kujiunga na chuo ni faculty gani iko kwenye soko sana ambayo nikisoma haitanisumbua kupata ajira.
KUACHA...
Nasomabsc with education in open university hv hii kozi inalipa maana naisoma kwa tabu c unaelewa working and studying au nitemane nayo niingie chuon kabisa nikasomee business ndg,nichukue bba,thnx
Yule jamaa aliyekuja na muungano wa pemba na zimbambwe south Africa, leo amenifurahisha sana alipokuwa anatangaza matokeo ya kidato cha pili kwa mambo mawili<
1. Eti mikoa ya kanda ya ziwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.