Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hivi viwango vipya vya mishahara hususan kwa walimu vilivyovumishwa kuanza mwezi Dec. 2012 vimeishia wapi?. Upepo ulivuma kwa kasi na wengine kusema wameunyaka walaka,unaoeleza kurudi kwa teaching...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
matokeo ya Form 4 D ya CIVICS na KISWAHIL C Ya ENGLISH NA HISTORY Vp Anaweza Kusomea Pharmacy medical training courses? Ahsanten Wadau
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Niko hapa Chimwaga, Nimejumuika na wanafunzi wa Kiswahili wanaigiza hiki kitabu... Nimejifunza mengi nikilinganisha na siasa za Tanzania!! Umekisoma hiki kitabu?!! Kuna kitu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu wanazuoni naombeni mwenye kufahamu ni lini application zinaanza Sauti make nasikia huwa wanawahi kutoa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sacred heart secondary school>is the school which was restricked found in 2007 by the hounourable fr.AVITUS KIGUTA who was a father at chicago.until this time the school have more 25 classes...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jf. Kwa yeyote anayefahamu topic za form v za Basic Applied Mathematics (BAM) pamoja na subtopics wanazotakiwa kusoma tofauti na pure Mathematics anisaidie kwa kuniorodhoshea. Kwa...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Wadau naomba kuuliza.Hivi kuna chuo kikuu chochote ambacho mpaka sasa wameshawalipa wanafunzi wao ile hela ya "special faculty requirement"?Kama kuna waliolipwa naomba watujuze ili nasi wengine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari ya mwaka mpya
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Kutupa mimba ni kitendo chacha kutolewa kwa mototo wa ng’ombe nje ya mfumo uzazi na mara nyingi akiwa amekufa kunakotokea kati ya siku ya 42 hadi siku takribani ya 260 kabla ya siku zake za kuzaa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Natumai Mko poa wanajamii. Ila nina leta changamoto moja ivi anaeweza kuelezea umeme na anaeweza kufanya kazi za umeme au mashine yoyote na kuzielezea, yupi anastahiki malipo makubwa? Nauliza...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Ndg wana JF, NIMEKUWA NIKIFUATILIA SANA PROSPECTUS ZA VYUO MBALIMBALI NA KUBAINI KUWA WALIOPEWA VYEO KAMA WAKUU WA IDARA WANA ELIMU NDOGO KULIKO WANAOWAONGOZA. MATHALANI UTAKUTA ASSITANT LECTURE...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Chuo cha utumishi Wa Umma Kampasi ya Tabora kimeingia kwenye utata na Wanafunzi wake baada ya Mwalm Aitwae ALEX Ndaikiza kuwaandikia barua Wanafunzi wote Waliokuwa Diploma Mwaka Wa 2 semista ya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Marafiki, Tafadhali angalieni nafasi hii hapa. Kwa swali lolote, nitakuwa tayari kukupatia msaada wa maelekezo muhimu, na majibu ya maswali yako. Tafadhali ukiwa na swali niandikie kwenye barua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu JF, kuna tetesi kwamba baadhi ya wakuu wa shule na walimu kuhamishwa,tafadhali mwenye taarifa rasmi atufahamishe. Nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamii naombeni msaada wenu,yeyote ambaye anaejua kuhusu "dependency and independency source of electricity" au ktabu chake anisaidie.pleeze jamani
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Jana gazeti la mtanzania lilifanya baadhi ya watu kupoteza pesa zao kuperuz kwenye mitandao mbalimbal kwa kile kilichodaiwa kuandika SERIKALI YAMWAGA AJIRA KWA WALIMU basi wadau wengi waliangaika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bila kuzunguka nianze na afisaelimu shule ya msingi wilaya ya Chato. Huyu jamaa ameamia juzi lakini amekuja na mkakati wake eti walimu wafundishe mpaka saa kumi akiwa na maana kuanzia saa...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
WIZARA IMEWALIPA BAADHI YA MADENI YA WALIMU. ILA CHA KUSHANGAZA WALIOLIPWA NI WATUMISHI WACHACHE KULIKO KAWAIDA. ANGALIA HAPA TAARIFA YA MADAI YA WALIMU YALIYOLIPWA KATI YA TAREHE 1 JULAI HADI 30...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Aiseeee babayangu ni jambo la kuchekesha kama si kusikitisha, kijana wa nyumba ya jirani yetu hapa mkuu rombo amepata nafasi ya kufika chuo kimoja wapo kikuu ( jina nlifadhi kwa heshima) hapa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Guys lets help each other if u hav got any assignment u have already done post it in here
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom