Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

nikizungumkuti ambacho mpaka sasa hakieleweki nani mchawi bodi ya mkopo kwani wanafunzi wapatao 400 ambao wanaendelea na masomo na walikuwa wanapata mkopo tokea mwaka wao wa kwanza ila tangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena ofisi ya uhasibu imefanya madudu mengine na kuwagharimu wanafunzi zaidi ya 500 ambao hadi sasa hawajapata mikopo yao. Tangu kuanza kwa mwaka wa masomo baadhi ya wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jambo lisilopingika kuwa watoto wa masikini wanao soma shule za kata wanapewa MITIHANI na NECTA kwenye masomo ambayo hawajawahi kufundishwa na wanaandikiwa 0 ambayo ni F na kuwaharibia vyeti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najua sitapata muda tena wa kuwa hapa jukwaani siku za hivi karibuni.ila napenda kuwatakia kila la heri wanafunzi wenzangu wa udsm katika mitihan yenu itakayoanza tarehe 18/01/2013,mungu atujalie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
tunakuja na tren kutoka mwanza behewa 4 mpaka hapo bodi mtupe pesa zetu tumewaheshimu tumechoka sasa maana mmetuchezea vyakutosha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kichwa cha habari kinajieleza nahitaji msaada wenu ndugu,wa vyuo vya elimu diploma,na gharama zake na vipi application zake hufanyika mwezi wa ngapi,plz wadau nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
886 Views
wadau mwenye taarifa na hilo kwa sababu nasikia kuna shule zimetangazwa...nahitaji kuzijua please!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nakipongeza chuo hiki kwa maendeleo na maboresho yanayofanyika kukiwezesha chuo hiki kichanga kiumri lakini kikubwa kwa taaluma. Binafsi nimejiridhisha kwa elimu ninauoipata hapa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF! ninajambo naomba mlitolee mawazo, kabala ya kulisema ngoja nikupeni picha ya elimu yetu. ni kwa muda sasa nimekua nikifuatilia mtaala wa elimu yetu toka nipate ufahamu na uelewa wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yapata mwaka sasa toka vijana walio dahiliwa 2011 wameka bila mkopo na wengine hali haikuwa favour nature haikuwaselect wakang'atuka huku fitest waki survive kwa shida na raha. Kwa vijana wa SUA...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Kwa mujibu wa hotuba ya rais Jk aliyoitoa jana walimu 28746 kuajiliwa jan 2013.jan ndo hii,so walimu kaeni mkao wa kula,but jiandaeni kwenda vijijini.hongereni walimu.
2 Reactions
26 Replies
4K Views
naomba mawazo yenu walimu ambayo yatanisaidia kufanya utafiti kama bado kunaumuhimu wa lesson plan kwani kunawalimu ambao wanafundisha vizuri but hawana lesson plan wengine wanalesson plan but...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kutokana na tamko la wazir Mulugo,walimu watakaoajiliwa jan 2013 kwenda mikoa ya katavi,kigoma,lindi,mtwara,mbeya(v),simiyu na shinyanga,je ina maana mikoa mingine haitopata walimu? Na hiyo jan...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nataka nijue wadogo zetu walio/watakao feli kidato cha pili wataludia darasa kweli au zilikuwa ni siasa?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ni hali ya kusikitisha kuona kwamba mkuu wa JKT leo katoa orodha ya shule chache ambazo wahitimu wao wa kidato cha 6, mwaka huu 2013 watajiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. Mtindo huu umenipa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tafadhali Wadau, Naomba kuulizia maajenti wa vyuo mbalimbali vya nje waliopo Tanzania. Lakini wale ambao ni waaminifu na wanawakilisha vyuo ambavyo vinatambulika.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Walimu wapya 28,638 sasa kupelekwa vijijini Na Godfrey Mushi 19th November 2012 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufunzi, Philipo Mulugo Serikali imetangaza mpango mpya wa ajira za...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Ni muda mrefu tumekuwa tuna zungumzia sayansi hapa Tanzania lakini nimegundua kuwa hatuizungumzii sayansi katika mazingira ya kuwa pata wanasayansi na wavumbuzi wa kisanyansi bali tunazungumzia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HUYU JAmAA ANAYEJIITA MAKAMUZI ALIWAHI KUNIWEKEA THREAD NIPIGWE BAN ,NDIPO HAPO TUKAINGIA KWENYE UGOMVI ULIOCHUKUA MIEZI SITA ,KWA SASA HUYU MAKAMUZI NI RAFIKI YANGU KWA SABABU AMENIOMBA MSAMAHA...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Amni usiamini chuo bora kinachotoa elimu bora na ya ukweli yaani mabingwa wa tasnia ya fani ya ualimu i mum pekee hp tanzania wabillah tawfiq
0 Reactions
99 Replies
9K Views
Back
Top Bottom