Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Dear Comrades, THANDA AND THANDO This two names seems to confuse comrades on JF For reality, these are two different people in one family. Thanda is married to Thando. In other words, Thando...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
MKE WA MAKAMU WA RAIS, MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KIISLAMU WA SHULE YA SEKONDARI TAMBAZAby JOHN BUKUKU on JANUARY 5, 2013 in JAMII with NO...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), kilichopo jijini Dar es Salaam wameandamana mpaka ofisi ya serikali ya wanafunzi kupinga tangazo lililobandikwa chuoni hapo linalowataka kuanzia...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Wengi wetu tumekuwa tukifikiri kuwa asili ya mtu mweusi ni Afrika tu, na tumekuwa tukidhani kuwa popote umwonapo mtu mweusi basi asili yake ni Afrika, lakini kuna watu wa maeneo mengine ambapo...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wakuu, Naomba kwa anayefahamu anisaidie kutafsiri maana ya transaction codes zifuatazo kwenye Customer statement za Tanesco ZBFS - OLC - LPP - Bill - Hii nafikiri ni bill ya matumizi ya umeme...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watu watatu (3), walinunua mikate, mmoja alinunua mikate mitano (5) na mwinginee mitatu (3) jumla wakawa na mikate minane (8), na mwenzao wa tatu yeye hakununua chochote...! Wote watatu, wakala...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
habari wanaJF, naomba kusaidiwa chaguo lipi ni sahihi kwa mhitimu wa shahada ya "BSc.BUSINESS INFORMATION SYSTEMS" kutokana na uhitaji wake katika mazingira ya kazi.machaguo ni kama yafuatayo...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
can you propound??????????
0 Reactions
0 Replies
671 Views
jamani hivi ni kweli?????
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Kama kuna mtu angependa kujua njia ya kuweza kuwasiliana na mtu kwa kuongea bila gharama yoyote , basi anaweza kujiunga na skype. kujiounga type www.skype.com na fuata malekezo yatakayofuatia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ningependa kuiweka hii topic kihivyo kwasababu mimi ni mgeni kidogo hivyo basi sijajua kama hii topic imewahi kugusiwa huko nyuma ama la. kimsingi nataka nipate maoni yenu wasomi na waalim na...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana JF, Naomba mnisaidie kunijulisha jinsi gani nitapata matokeo ya kidato cha pili mwaka 2011, nasikia yametoka najitahidi kutafuta ili niangalie matokeo ya mtoto wangu bado sijafanikiwa. Kama...
0 Reactions
13 Replies
38K Views
Nifanyeje ili nitakapo taka kuandika kwenye microsoft word page iwe imelala na badala ya kuandika kwa wima niandike kwa ulalo.,
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kiemtoa masharti makali mno kwa wanafunzi wake waliosimamishwa chuo na sasa wanarudishwa rasmi chuoni.Wanafunzi hao walisimamishwa masomo kwa makosa ya kinidhamu(hasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
We sometimes find ourselves in shambles and melancholy situation about better University, SOME trying to remedy their university and others in affliction to each other about which better, UDOM or...
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Utafiti unaonyesha wanawake wanafaulu saana somo la chemia kwakuwa wanauwezo wa kutambua rangi tofauti na wanaume ambao wana ugonjwa unaojulikana kama colour blindness.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanafunzi 1332 kati ya 3853 waliofanya mitihani ya Bodi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) watarudia mitihani hiyo baada ya kufanya VIBAYA mitihani hiyo iliyofanyika Novemba mwaka huu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mmiliki wa KIU Bassajabalaba ni mfanyabiashara anayeendesha shuguri zake kwa njia za kifisadi na zenye utata. Pamoja na biashara mbalimbali alizopata kuzifanya alikuwa ni muuzaji wa ngozi za...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Naomba kuelewa idadi ya wanawake na wanaume katika ile jumla ya watanzania, ahsante kwa atakayeweza kunipa data za ukweli,
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nowadays experienced personnels are doing best in working staffs than academic certificate holders (who got experience from school), this is because most of them taught theory means of education...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Back
Top Bottom