Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Heri ya mwaka 2013 wanaJF, Jaman naombeni msaada kwa anayefahamu anapofundishia dada Sabrina somo la Auditing and Assurance kwa wale wanaofanya mitihani ya NBAA module F,vile vile Center ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
• Wasiojua kusoma wachaguliwa kujaza shule za kata na Waandishi wetu WIKI moja tangu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, atangaze matokeo ya darasa la saba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau habari za leo? Mimi natafuta vitabu vya hadithi vile vya zamani; nataka vya kununua. Kama kuna mdau hapa anafahamu wapi naweza kuvipata tafadhali nijulishe kwa PM. Vitabu vifiuatavyo:-...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Ni ipi tofauti kati ya maneno haya KUJUA na KUFAHAMU, JIBU na JAWABU?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Kutokana na Serikali kuwadharau Walimu, Kila mwalimu ajiunge na sera inayoitwa FUKAMA yani FUNDISHA KULINGANA NA MALIPO, mda unaobaki kafanye shughuli zako.
2 Reactions
35 Replies
4K Views
jaman katika pitapita yangu ya hapa na pale nimekutana na kitu ambacho ama kwa hakika ni msaada mkubwa kwa tatizo la mikopo ya kusomea elimu ya juu hapa nchini. Kinacho niuma zaidi ni kwamba hii...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
hivi ni kwanini siasa vyuoni inapigwa vita vikali? hali ya kuwa tunajua hatuwezi tenga siasa na maisha ya mtu/ na jamii kwa ujumla, naombeni jibu ili niweze pata cha kuanzia kukisema
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF Tafadhalini sna naomba kujua tarehe ya kuanza kwa mitihan ya NECTA kidato cha SITA 2013
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Naomba kuuliza kama namba za watahiniwa wa mtihani wa kidato cha 6 mwaka 2013 zimetoka?maana kuna wanaosema zimetoka huku wengine wakisema bado.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dear all JF members, InKOSAZANA'(s) and uBABA'(s) Namshukuru Mungu kwa Ulinzi wake hadi sasa. Namshukuru Thando (mke wangu) kwa kunisaidia kufasiri lugha wakati wote ninapokosea hapa JF. Watoto...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Wanajamii wenzangu nisaidieni: nitamtambuaje mtoto mwenye 'IQ' ya juu(geneous) kwa sifa(matendo) yake?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
hivi kweli tunaweza pata mwalimu bora zaidi ya mwingine? Vigezo vipi vatatumika tumpate au huu ni usanii?, je hatuwezi thamini mchango wao wote na tuwalipe posho ya thamani ya mchango wao katika...
0 Reactions
2 Replies
996 Views
nina elimu ya kidato cha nne niliajiliwa kama mwalimu wa shule ya msingi mwaka 2008 baada ya kuona hailipi nikaachana nayo mwaka 2010.nikaamua kusafisha cheti bahati mbaya mwaka 2010,2011 matokeo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu sasa vyombo vya habari nchini Tanzania, vimekuwa vikiwataja ndugu zetu walio zaliwa na changamoto ya ukosefu wa melanini mwilini na uono hafifu " ALBINO "...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuuliza shule ya sekondari lugoba bado ni y wazazi au ilishakuwa ya serikali
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wakuu,hivi unapokua unafanya haya maswali ya trial balance afu swali linagoma kubalance,kuna haja ya kufungua suspense account au ndio inakuaje wajameni?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau nina dogo nataka kumuanzisha darasa la kwanza. Kwa hapa dar ni ipi shule nzuri ya bei nafuu. Naomba msaada wenu wazazi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwel bodi ya mikopo tanzania inaendeshwa kwa ubabaishaji!ni hivi unapewa bum la kwanza then wanakuja na sababu bum la pili kuwa information zako zimekosewa!ukidadis zaidi wanadai kuwa kosa ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
$ 2.7m nisawa nakiasi cha fedha zakibongo.na 20% izi $ 2.7m ni sh ngapi.msaada kuna wa2 wamejariwa na hesabu mi siwezi kabisa.msaada pls
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekutana na tangazo hili la kazi ya Computer Engineer, lakini namba ya simu ili kuipata hiyo kazi ni sharti upige kwanza simu, na namba ya hiyo simu imeandikwa kimafumbo. Nami niko huku shamba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom