Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba kama mtakuwepo tukumbushane enzi zile za kuponda kokoto mambo ya jiwe wilolesi pia na mambo ya vikosi vya zamu. R-ip Kajiba kweli alitulea kijeshi sana.
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Wadau, Nimefungua TCU website, katika News & Events nikakutana na hili tangazo: mgogoro wa wafanyakazi na wanafunzi katika chuo kikuu kishiriki Dar es salaam cha KIU Kwa haraka haraka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa uchache nawajua wenzangu wanne ambao wako katika hali kama yangu. ila haya ni maelezo yangu binafsi. katika kipindi kilichokuwa kinarushwa na ITV na TBC taifa leo mida ya saa 12 jioni kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi fikra huru. tunakazana kuhamasishwa Mlima kilimanjaro uingie kwenye majabu ya dunia badala ya kuingiza matokeo ya darasa la saba ambapo wamefanya mtihani wa masomo 5 Waziri katangaza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wapendwa Wana JF, Mwajiri wangu ameniambia yupo tayari kunilipia gharama zote za masomo at OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA(OUT). Hataki niache kazi kwa ajili ya kwenda kusoma Ph.D. NAOMBENI USHAURI...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimekuwa nikijaribu kuangalia matokeo ya darasa la saba lakini sijafanikiwa kuyaona ,tafadhali anaye elewa anielekeze..!
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Salaam wana jamii,naomba kama kuna mtu anajuwa link ya ku download past papers za NBAA tanzania au sehemu yeyote ya kupata hizi past papers module E asanteni
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari ya mapumziko ya sikukuu ya kuzaliwa Yesu kristo na kuelekea mwaka mpya wa 2013. Nakuandikia habari hii kutokana na hali iliyopo katika utoaji wa fedha za wanaosoma shahada za Uzamili na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa Nikisikia Kuwa Wizara Imebadili Mfumo Wa Mitihani Form Six Wanamaliza Mwezi May Na Form 4 Mwezi Novemba Sasa Form Five Ya Mwaka 2013 Wataingia Shule Mwezi Wa Ngapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
sometimes i real wonder why wait (to say) till it happen. I don't think if it matters when you are called a Prophet right! After all your not one or may be you are....just pay attention abt std...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasaalam..!! Ndugu zangu wa Jf...kwa upande wangu Kozi yangu Ya BVM Hapa Sokoine UniversitY of Agriculture.. Mambo Si lelemama nimekubali Challange Hope nikitoka likizo Mambo..Yangu YataninYookea...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Natafuta past papers za EGM za national exams. Msaadaa za kidato cha sita.
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Leo napenda tujuzane juu ya udhaifu wa tume yenye thamana ya kusimamia vyuo vikuu, ninavyofahamu walaka wa TCU ulisema kiwango cha dalaja C katika masomo ya vyuo vikuu kianzie na 40 na sio 50...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
helo wakuu... kwa mwenye ufahamu wa gradimg za udsm anifafanulie maana kwenye mfumu wa matokeo wa chuo unanichanganya. mfano mtu umepata C unawekewa PASS wakati prospectus inaonyesha ni fail...
0 Reactions
3 Replies
985 Views
Kwa uchungu na masikitikomakubwa nasikia matokeo ya darasa la saba yalirekebishwa ili kufuta aibu kwani wengi walikuwa chini ya wastani unaotakiwa ambao ni 100/250. Habari za kuaminika toka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hebu jiulize mwanafunzi akipata alama zote mtihani wa darasa la saba kwa masomo matano anapata 250, kwani kila somo linajumla ya alama 50. Miaka ya nyuma kwenda sekondari ilikuwa kufikisha jumla...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wote,leo naomba niulize au nijuzwe kwa hili.Nakumbuka katika pitapita zangu kipindi cha nyuma nilikutana na tangazo la ajila kutoka NMB katika gazeti moja la kiingereza,ajila ilikuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nawapa pole,maana naamini wengi wanaofanya hvo,watakua bado wako vyuoni na hawana real experience ya kitaa..mimi pamoja na bcom yangu ya so called state university{udsm}lakini nimeambulia kuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Serikali inabaka elimu. Jana nilipigiwa simu na Afisa mmoja wa Baraza la Taifa la Mitihani akiniomba msaada wa kisheria.Ni juu ya kutishiwa kwake kufukuzwa kazi kama hatakubali kupitisha matokeo...
8 Reactions
61 Replies
14K Views
Habari wakuu Katika taarifa ya habari ya clouds fm jioni hii saa 12 wamesema kuwa matokeo yametangazwa na asilimia za ufaulu zimepanda kwa asilimia 8.8 ukilinganisha na mwaka jana.Kawambwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom