Wakuu, kwa kawaida matokeo ya mitihani ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu za Serikali (NBAA) hutoa matokeo kila alhamisi ya mwezi December.... Sasa mpaka naandika dakika hii matokeo bado...
Ni takribani vijimyaka kadhaa sasa vimeishaenda magharibi taangia nimeanza kufuatilia kwa ukaribu mno jinsi na namna ambavyo board ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu hapa nchini inavyotenda...
kuna jambo moja ambalo linazungumziwa sana na watanzania hasa vyombo vya habari. Swala lenyewe ni MFUMO WA ANALOJIA NA MFUMO WA DIGITALI. Kiukweli sijui lolote juu ya dhana hizo, naombeni...
habari zenu wadau wa jukwaa hili la elimu....naomba msaada kwa yeyote anayejua ama kufahamu chuo ama taasisi inayotoa cheti cha uhakika cha CISCO Networking....
Habari WanaJF wenzangu,
Nina ombi moja kutoka kwenu hasa kwa mwenye ufahamu ili muweze kunisaidia..Mim natarajia kufanya CPA exams mwezi May 2013 module F,ila sasa sijajua ni Center gani...
HAPA huwezi ukaona kwa macho, lakini ni vita kali ya walimu(elimu) na maendeleo
kwani nani anabisha walimu hawawezi kulinda Elimu KAMA hawa hapa?
nani hajui Dokta Ili afanye kazi hii...
Eti inawezekana kwa mtu aliyesoma Diploma ya computer engineering nakupata GPA ya 4.2 na O-Level Chemistry A, Physics A, Biology B na Mathematics B kupata nafasi yakujiunga na bachelor ya Doctor...
Ningependa mnisaidie kwa wanaofahamu.
Inahusiana na nini hasa?
Unaweza kuisoma wapi?
Utafanya kazi zipi?
Ajira yake ikoje?
Mtu yeyote anaweza kuisoma au mpaka uwe na extra knowledge ya mambo...
Kuna tabia na hali ya kutaka utajili wa haraka hasa kwa wasomi na vijana waajiliwa coz mtu anaanza kazi leo anataka kesho awe na magari na nyumba za kifahari pasipo kusota na kufanya kazi kwa nini?
Mimi naitwa Yusuph Peterson niko ktk chuo cha Tabibu Wasaidizi Kigoma CATC naomba msaada wa Kudhaminiwa kulipiwa ada Kwa muda wote wa masomo yaani miaka miwili nimelipa km robo tatu ya mwaka wa...
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari saa mbili usiku ndipo nikajue kumbe mauaji ya Mara hivi karibuni yalisababiswa na imani za kishirikina.
Kama tujuavyo hatuwezi kuendelea bila kuamini katika...
OUR VISION
To be the Centre of Excellence in Quality Education Assessment and Certification.
OUR MISSION
To Provide Fair, Effecient and Effective Educational Assessment.
OUR MOTTO is to serve...
Imefika wakati bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ibadilike,kwa muda sasa sisi wanafunzi tuliochina tunasubiri mikopo yetu lakini hatujapewa taarifa yoyote ya kuaminika toka wahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.