Haijalishi unapitia wakati au kipindi gani katika mwaka uliopita wa 2012, haijalishi huko nyuma umelia mara ngapi na bado unaendelea kulia, na haijalishi uhalisia wa maisha yako unaonyesha nini...
Habari zenu wakuu.
Happy New Year.
Msaada jamani natafuta shule nzuri ya watoto (Nursery) affordable (for middle class) iwe maeneo ya Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni na maeneo ya jirani na hayo...
Nimehamia Kawe, nataka shule english medium kwa ajili ya binti yangu, darasa la 4 kwa mwaka 2013.
Nitapenda shule iwe na ada ya watu wa kati, usafiri uwepo kwenda na kurudi. Iwe shule kweli sio...
Wakuu mwenye info za shule nzuri ya Private ya PCM anisaidie, kuna ndugu yangu anataka kumpeleka Mtoto wake wa Kike, I we mchanganyiko au pure wasichana,
The MasterCard Foundation has partnered with Michigan State University to provide full scholarships to master's students from sub-Saharan Africa.
ELIGIBILITY:
Students must have demonstrated...
Ndugu zangu. Ninahitaji kupata taarifa juu ya PhD programs za UDOM. Nimeaangalia kwenye website yao www.udom.ac.tz lakini sikupata taarifa zozote za jinsi ambavyo ninaweza kujiunga na kozi ya PhD...
JE UMEMALIZA FORM 4 NA UNATAKA CHUO?? MWIKA TEACHERS COLLEGE NI CHUO CHA UALIMU KINACHOTAYARISHA WAALIMU WA ELIMU YA AWALI (ECDE) KOZI NI YA MIAKA 2 NA ADA NI NAFUU SANA. KUNA HOSTEL.. CHUO KIPO...
KIFO cha mwanafunzi Dalton Ott Nyanyika wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kilichotokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni, kimegubikwa na utata kufuatia ndugu na wazazi wake kudai aliuawa.
Kwa...
Wana jamii forum wenzangu hasa ktk jukwaa Elimu katika elimu Idara ya Ukaguzi wa shule ni muhimu sana kwa maendeleo ya elimu nchini. Idara hii imeachwa si kusahauliwa haifanyikazi yoyote wakafuzi...
Happy new year 2013 to all:
Did you know we learn more by being good listeners than by being good speakers? Did you also know that in most schools we are taught how to speak and read but not...
Sote katika nyakati tofauti tumepitia na kukua katika mikono ya walimu.Katika kipindi chote hicho yapo mengi tuliyopitia.
Kuna walimu walikuwa wakali sana,kuna walimu walikuwa wapole sana,kuna...
Dears JF members;
Mwaka 2013 umetengenezwa kwa namba nne zinazofuatana ambazo ni 0, 1, 2 na 3. Mara ya mwisho namba hizi zilitengeneza jina la mwaka ilikuwa ni mwaka 1320, ambapo ni miaka 692...
Heshima kwenu wakuu.Ninaomba kujuzwa ni ipi ngazi ya juu kabisa ya elimu.Na pia ni trend gani hufuatwa tangu mtu amepata degree ya kwanza na kuendelea lakini pia Phd Holder na Professor...
Sua naifananisha na club kongwe nchni italia ya juventus,licha ya umri wake mkongwe,club hyo haina mafanikio makubwa na wala sio maarufu sana barani ulaya kama zilvyo club nyingne zenye majina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.