KAMA WEWE NDIO Uliyetoa MAADA INAYOSEMA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NDIO CHANZO NA VIONGOZI WENGI WABADHIRIFU NA HAWA WANOIBA PER DIEM NA KUSInII VITU HEWA KUAZIA TIKETI NA HAYO NDIO MAISHA...
Haya wenzangu na mie ambao mmemaliza Udsm2012 na mnaoendelea ile website inayo contain mambo yenu yote imejazwa matokeo tayari! Najua inafunguliwa kwa heshima zote na wadau
Elimu ya tanzania ina ishara ya kujenga matabaka. Siku hizi shule za serikali zimebatizwa jina la Kayumba. Kuna tofauti kubwa sana ya kimtazamo na kisaikolojia kati ya wanafuzi wanaosoma English...
Mheshimiwa waziri wa elimu Dk.Shukuru Kawambwa naomba utambue tu kuwa jamii yote ya watanzania wakiwemo wasomi kama wewe inafahamu kuwa wewe ndiye waziri mwenye dhamana ya kuhakikisha gurudumu la...
Elimu ya Tanzania haimwezeshi mwanafunzi kuweza kujitegemea bali ni ya kukaririsha zaidi. Serikali iwaandae na kuwaendeleza walimu kupitia Mpango wa Mafunzo Kazini ili kuinua kiwango cha Elimu nchini.
Kuwa wanafunzi wengi wa chuo ukimhakikishia mlo mmoja kwa siku unamla uroda... Hii iko hivi tufanye mlo ni 3,000. So ni sawa umemla uroda kwa tsh 3,000 Hi ni new version ya uwanja wa fisi...
Kuna baba yangu mdogo anamtafutia mwanae shule ya msingi hizi za bording kwa hapa Dar es salaam.
Ziwe English medium na mtoto mwenyewe ndo anaingia darasa la pili next year, 2013 kwenye moja ya...
NAOMBENI MSAADA WANAJF,NINA BINTI YANGU AMEFELI KIDATO CHA NNE( yaani ana four ya 35)..NIMEJARIBU KUTAFAKARI NAMNA YA KUMSAIDIA NIKAONA LABDA VETA ITAMFAA,NIPATIENI USHAURI JUU YA KOZI AMBAYO...
Chuo hiki kifungwe kwani uongozi wake ni mbovu kuanzia wa juu mpaka mfagizi...finance wameoza, administrators takataka wengine wanajidai et hawakuja kujifunza kazi udom...hamna kitu wengine...
FIKA OFISI YA AMANA GLOBAL PARTNERSHIP FOR COMMUNITY DEVT. OFISI ZIPO SOKO LA MAKUMBUSHO CHUMBA NAMBA MBILI. AU TEMBELEA WEBSITE Amana Global Partnership For Community Development Company Limited...
tarehe 12 dec 2012, zaidi ya miezi miwili tangu mwaka wa masomo uanze,wanafunzi mwaka wa pili tuliokata tamaa na kuzoea kupiga pasi(lampard) ndefu tumeingiziwa boom pia na wanafunzi baadhi mwaka...
Idara ya elimu kwakweli mnatia aibu kwa utendaji kazi wenu uliochini ya kiwango. Hiyo ikiwezekana ifumuliwe na,kupangwa upya. Rushwa imejaa kuanzia msijara mpaka .......æ.... Hivi sasa ukitaka...
Nakerwa na viongozi na wanasiasa hasa hao wanaotumia initial za "Dr" kwenye majina yao wakati rules haziruhusu.
Nakumbuka TCU iliwahi pia kuweka sawa hili kuhusu matumizi ya hii initial na...
naomba muongozo wa uanzishwaji wa federatio,kwa kuelekezwa ni ofic gan nchini inahusika na zoezi hili,vigezo vya kuzingatiwa a muda wa kupata usajili rasmi
Hello wanajamii:Kwa yeyote anayehitaji kupata mafunzo ya BASIC APPLICATION OF GIS IN(ARCGIS SOFWARE &MAP INFO PROFESSINAL) na DATA CAPTURE(ukusanyaji wa taarifa kwa kutumia) technologia ya GPS na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.