Inashangaza sana hii NGO,walisema mikopo yao wangeanza kuitoa mapema mwezi wa kumi,lakini mpaka leo wamekua wanawapiga watu danadana tu,leo wamekuja na tangazo linalosema eti mikopo ni mpaka mwezi...
mamboz kwa wana jf wote jaman jaman hv wote mlio soma ST.JOHN'S UNIVERSITY mmesha wah kupata usumbufu km niliopt me yan matokeo ni yangu lakn kupata 2 hayo matokeo yan transcript inachukua karibia...
Ni miaka mingi kada ya uwalimu imekuwa ikidharauliwa kwa muda mrefu nchini kwetu. Hii imepelekea mwalimu kudharaulika sana ndani ya jamii japo amekuwa mtu muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa letu...
PRESIDENT'S OFFICE,
PUBLIC SERVICE MANAGEMENT
SCHOLARSHIPS ANNOUNCEMENT
Applications are invited for qualified Tanzanians from the Public Service to apply for the following programs from the...
PRESIDENT'S OFFICE,
PUBLIC SERVICE MANAGEMENT
SCHOLARSHIPS ANNOUNCEMENT
Applications are invited for qualified Tanzanians from the Public Service to apply for the following training program...
Kampala international University, Dar es Salaam college inatarajia kuanza masomo jumatatu baada ya likizo fupi ya sikukuu ya mwaka mpya na xmas. Kuna taarifa kwamba hadi sasa Chuo hakijalipa...
Mwanafunz wa kiume mwaka wa tatu afariki dunia ghafla saa3 alfajil, baada ya kutoka disc na kujisikia vibaya na kufariki papo hapo, anatokea Tarime (LYOBA), R.I.P ndugu yetu.
watumiaji wa facebook, naomba mnisaidie la kujifunza kule facebook, maana mwenzenu kila ninapo log in huwa nakutana na picha na vijisalamu salamu vya hi1, babie, sweethaert na picha za kuvutia na...
Yuko wapi G.Mukoba iko wapi CWT inamaana wanasubiri siku za kufunga shule zikaribie watangaze mgomo? walimu wa kitanzania watazidi kukandamizwa n kunyonywa tusipoamua kwa dhati kudai haki yetu.Ni...
Ndugu wana JamiiForum,nipo hapa kuwaomba ushauri wenu kwangu ni jinsi gani nitaweza kupata elimu ambayo niliikosa huko nyuma. elimu yangu tuseme ni ya ufundi kwani nilianza secondary mwaka kidato...
Wanafunzi wa chuo kikuu Kampala International University Tawi la Dar es Salam leo Wameingia barabarani kushindikiza serikali ije kuwasikiliza kutokana na kilio chao cha muda mrefu cha matatizo...
wakati nchi nyingine zinawekeza kwenye elimu nchi hii inawekeza kwenye ufisadi na siasa chafu, tusubiri anguko kubwa kama si kufutika kwa tifa hili katika ramani ya dunia,
elimu nndio mstakabali...
kuna
rafiki yangu ana mwaka1kwenye ualimu ktk kijji cha mkoa wa mbali na
nyumbani,anapita mikoa6 had kufika huko,anang'ang'ania kuacha kazi,
sijui hata nimshauri vp ndugu zangu wanajf!sababu...
Pamoja na kuwa DIT ndicho chuo cha technolojia hapa nchini lakini huwezi amini kimeshindwa kudhihirisha kwa vitendo ufanisi wake, angalia website yake ni kama ya wakulima tu mambo ya miaka...
Mmoja wa walimu hao ambaye hakutaka kutajwa gazetini akihofia kushughulikiwa na wanafunzi hao alisema amelazimika kuikimbia pamoja na walimu wenzake wote, kwa kuwa wameshindwa kudhibiti tabia hiyo...
Habari nilizozipata toka chuo kikuu mzumbe ni kwamba hawa jamaa tangia wafungue chuo mwezi wa kumi mpaka sasa hawajapata pesa zao za mkopo yaani pesa za misosi, hapo ni nani alaumiwe? Ni uongozi...
Tafadhalini ndugu zangu mlioko Dar mnafahamu au mejua taratibu za Graduation ya masters hapo tarehe 14 kama vile majoho yanatolewa lini na kwa shilingi ngapi na vitu vingine vinavyoweza tusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.