Top 100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking
1 University of Cape Town
South Africa
2 Universiteit Stellenbosch
South Africa
3 University of...
Yani chuo kikuu cha Dar es salaam wana mambo ya kizamani sana, watu tumemaliza chuo mwezi july pamoja na graduation mwezi uliopita, lakini inashangaza wanavyochukua muda kutupatia transcript zetu...
Wakuu,
Nataka kujifunza mambo haya hapa:
1) MapINFO
2) GIS mapping - specifically on mapping water sources
Ninatafuta mtaalamu aliyebobea anifundishe jinsi ya kutumia hizo applications...
Nimeondoa jina lake na chuo alichosoma...chuo kina jina kubwa sana na kipo hapa Dar
DIRECTOR/MANAGER
KAHAMA FM
P.O BOX
SHINYANGA
TANZANIA
DEAR SIR/ MADAM
RE: REF...
Wadau wenzangu hebu tushauriane jambo...me nanona kwa upande wangu, masomo ya mathematics,english, kiswahili na history yangewekwa kama masomo ya lazima mpaka form six...au nyie mnaonaje?
Jamani hivi hawa wanafunzi wanaokuwaga ma-t.o mitihani ya form six wanaishiaga wapi?
Embu tutengeneze list yao hapa na sehem walizo,binafsi naanza na huyu
1.emily p.wangilisasi
t.o 2004,pcm...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini...
Nawapa utundu na maarifa ya namna ya ku save na kuto copy notes za aina yote. Kama unaweza nunua tablet kama ya toshiba, samsung or ipad ipo poa sana. Mimi ndo natumia sana hiyo. Nikitaka naenda...
ni kiangalia jamii yangu ya tanzania hii leo si oni kama kuna uwezekano wa kupata elimu inayo jitoshereza na kuweza kumpa kijana uwezo wa kupambanua mambo ktk ulimwengu huu wa utandawazi...
wakali hapa kuna swali tumebishana paka watu wakagombana wengine tukiishia kucheka,hii inaonyesha utofauti wa kimtizamo kwa wasomi muda mwingine hupelekea ugomvi.kwa kuwa kwa wanafunz wote mlioko...
NI mwaka sasa tumekaa bila mkopo sasa loan board wameamua kutupa nasisi tule japo miaka miwili ijayo.si wengine ni wale continuing ambao tulikosa mkopo mwaka wa kwanza majina yetu yameingia...
Ule mtindo wa watu kulala mzungu wa nne,umewatokea puani ucku wa kuamkia leo baadhi ya wanachuo wa mwaka wa pili na wa kwanza pale SUA, Hii ni baada ya uongozi wa malazi (suasab) kuamua kupitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.