RUNGU la Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo limewashukia wakuu saba wa shule za msingi wilayani hapa kwa kupewa adhabu za kuteremshwa vyeo baada ya shule zao kujihusisha na...
Siku chache zilizopita nimeona rank za vyuo,
kwanza zilianza zile za Africa kwa ujumla, baadae nimeona Tanzania, baadhi ya vyuo vilivyotajwa kwa ubora n.
UDSM
UDOM
MZUMBE
IFM
Mm nasoma...
Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Master na PhD nchini Ujerumani kwa ufadhili wa Wizara ya Elimu (MoEVT) Tanzania na Exchange Program (DAAD) ya Ujerumani mpaka sasa hawajatumiwa hela ya kujikimu ya...
Tafadhali sana kiongozi wa sekta ya elimu
Wanafuzni so sote wenye uwezo kutafuta ada tulipe ili tupewe vyeti, tunakuomba, kwa vile wewe
ulitangaza na sasa utangaze tupewe vyeti vyetu UDOM, ili...
Wakuu wa jukwaa la Elimu habari,
Ningependa kuwasilisha matatizo yaliyowakumba wanafunzi wa St Joseph college tawi la Songea kwa kukatwa fedha yao ya kujikimu, jambo lililoleta mgogoro mkubwa na...
Habari,
Naomba kuuliza kama kuna aina tofauti za kozi za Post graduate Diploma in Education au iko mmoja tu?
Nikisema aina mbalimbali naamanisha Post Graduate Diploma in Education with.....
hebu tazama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz
cheti mwalimu 244400,afya cheti 472000,kilimo na mifugo 959400,sheria 63000
diploma mwalimu 325000,afya...
Nakuja kwenu wadau wa elimu katika kuweka wazi swala hili la aibu na ajabu kabisa. mwanzoni mwa mwaka huu kulikua na zoezi la ukaguzi wa watumishi zoezi ambalo liligusa pia kada ya elimu, katika...
Nimesoma gazeti la Habari Leo na kukuta habari ya wanafunzi 44 waliofeli la 7 wako sekondari huko Mkoani Katavi. Hawa wanafunzi walifeli la 7 kwa sababu hawana akili za darasani, leo hii waje...
Wadau leo asubuhi nimesikia kwenye radio baadhi ya wanafunzi wa sekondari moja ya kata wamekamatwa kwa makosa ya kuchoma nyumba ya mwalimu, kweli wanafunzi wa siku hizi wanathamini elimu???????
mwanafunzi wa SAUT mwaka wa kwanza kitivo cha Elimu..ameuwawa vibaya usiku wa kuamkia leo mtaa wa nyamalango, alikabwa roba na kutobolewa macho. Mwenyez Mungu amlaze mahala pema peponi
Imekuwa ni desturi yangu kulaani na kukemea taaluma ambazo viongozi wetu wameipata kwa kusomeshwa na kodi za wananchi wa nchi hii,lakini zikakosa mashiko na kuleta tija kwa mustakabali wa...
Mti huu kivuli chake ni ofisi ya walimu (staff room) wa Shule ya Msingi Silabu iliyopo Wilaya ya Korogwe. Thehabari.com imelazimika kuitembelea tena shule hii ikiwa ni miezi sita baada ya...
Huku Chuo Kikuu cha Dodoma-UDOM kikiandamwa na kashfa ya wanafunzi wake wa kike kujiuza kwa ajili ya kujikimu,hali ndani ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam-UDSM si shwari. Wanafunzi wa UDSM sasa wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.