Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

katika hali ya kuonesha wamegundua makosa yao,Baraza la mitihani ya taifa NECTA,wameondoa ratiba yao ya mwez mei na kurudisha ya mwez february katika mtandao wao
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maana huyu jamaa kaibuka na magazeti yake. Mwenye kumfahamu yeye na cv yake please.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Full scholarships for African students: Here is the website with full lists of UNDERGRADUATES, POSTGRADUATES, MASTERS AND PHD international scholarships for African and international students to...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Monday, December 3, 2012|Na Ali Issa Maelezo Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzíbar imetoa taarifa rasmi ya kuruhusiwa kufanya mitihani ya kidato cha sita, mwezi Februari mwakani, wanafunzi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Elimu yetu ilipokuwa bora! Huko wilayani tulikuwa tunasoma na watoto wa wakuu wa wilaya, wakurugenzi, maafisa mbali mbali. Mnakaa dawati moja na kushare vitabu na vifaa mbali mbali. Japokuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi! Nimesikia ya kuwa majina ya pc waliofutiwa usajili wao wa kufanya mtihani feb 2013 kwa sababu mbalimbali yameshatoka. But unlucky hakuna tangazo necta wala moe. Je hz taarifa zna ukweli?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The ancient Mayans had many advanced abilities & most importantly ancient knowledge, probably originating from sources that 're not immediately apparent at this time. Among these advanced...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
The ancient Mayans had many advanced abilities & most importantly ancient knowledge, probably originating from sources that 're not immediately apparent at this time. Among these advanced...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Nimesikiliza Kipindi cha Dak 45 ITV naibu Waziri one 1964 alikuwa anaongea pumba tupu. Eti watu wampugie sime kama kuna shule ambayo haijasajiliwa, hivi hiyo ndiyo kazi ya Waziri? atapokea simu...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Mulugo, naibu waziri wa elimu anasema hata mwaka wa 1989 maswali yote yalikuwa ni ya kuchagua isipokuwa somo la hisabati tu! wa mliofanya mtihani mwaka huo ni kweli? nauliza hivyo maana mimi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu! Mwenzenu nahitaji msaada wenu,nauliza ukiwa na div III ya point 15 na una principle moja na subdisiary huwezi kupata chuo ukasoma degree in education?msaada wakuu Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Quality education is the pillar of national development and most of Tanzanians (Activists, Elites, Farmers and Businessmen) are insisting it. What are the criteria used in assessing quality...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Sasa ni kama mwezi wa nne mishahara ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma inachelewe. Kuna habari zisizo rasmi kuwa watu wanaohusika na mishahara wanachelewe kupeleka payroll hazina ndio maana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (wa pili kushoto) akijumuika pamoja na Baadhi ya Wabunge wanaounda timu ya Bunge Sports inayoundwa na wabunge kutoka Baraza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Following the mushrooming projects on oil and gas industries; The Vocational Education Training Authority (VETA) has embarked on a new program aimed at offering technical training on oil and gas...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
  • Closed
Nilipokuwa nabadilishana mawazo juu ya Elimu ya juu nchini nilipatwa na mshtuko niliposikia kuwa chuo chetu cha UDOM kinapigia chapuo udini! mm binafsi sina shida na watu walio na dini zao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama una interest apply .Utafanya kazi hosp na kusoma .kama unainterest please contact . Mary peach 860 679 2562.Her address peach@nso.uch.edu.(Hartford Hospital). Or Patricia forneister...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Oya wakali hapa kuna swali tumebishana paka watu wakagombana wengine tukiishia kucheka,hii inaonyesha utofauti wa kimtizamo kwa wasomi muda mwingine hupelekea ugomvi.kwa kuwa kwa wanafunz wote...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani naomba munifahamishe matokeo ya wanaochaguliwa na kujiunga na vyuo vya afya huwa yanatoka awamu mbili ama?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
:crazy: Mambo zenu wazee! Hiv unafikiri ni hatua zip za dharura tz inatakiwa kuchukua ili kuboresha ubora wa elimu vyuon na mashulen? funguka wakubwa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom