Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, amesema kundi lililoathirika na virusi vya Ukimwi kwa kiwango kikubwa wilayani humo ni vijana wenye umri kati ya miaka 18 na 22. Mushi alisema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Soko la ajira likoje huko njee wakuu kwa hii course?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ninaomba kuuliza kwa wale wenye Ujuvi na masuala protokali/Itifaki (sijui neno lipi hapo litakuwa sahihi kutumika), unapotumia Title "JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (THE UNITED REPUBLIC OF...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jionee mwenyewe jinsi walimu wanavyokumbana na vimbwanga vya wanafunzi 1 2 3 4 5 6 7. 8.
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Wizara ya elimu ya juu haina budi kubuni kuiga mazuri toka nchi nyingine ili kuunda mfumo wa elimu ya juu kwa mfumo wa kuwaunda wanafunzi kitaaluma, kimaadili ili kujenga vema future yao. Kiwango...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndungu zangu naomba mnieleweshe kwani mimi ni miongoni mwa wanafunzi ambao wanachukua kozi mpya ya Human resource planning and managemnt,je soko letu liko je huko duniani? Mwanafunzi.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ugonjwa wa kifua kikuu cha ng’ombe ni ugonjwa hatari sana wenye madhara makubwa kiafya kwa ng’ombe, mwanadamu na hata katika biashara ya kimataifa. Ni ugonjwa unaosababishwa vimelea vya bakteria...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
wadau wa elimu nawaombeni majina ya shule za was A level,zenye maadili mazuri,ukiwa na contact zao ni vema sana.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Pass it on Norway to give online training - Business - www.theeastafrican.co.ke
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Wadau kila ninapojiuliza ni kwa nini Public Primary School masomo yanafundishwa kwa kiswahili sipati jibu. Kama huyu mtoto akitoka tu hapo akiingia sekondari masomo yote yanaanzwa tena kufundishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naombeni mnisaidie katika hili,kuna ndugu yangu anataka kusoma hii masters huko kwa malkia (UK),sasaa anasema akiangalia ada ipo expensive kidogo kuliko masters nyingine..mimi naomba...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Wana jamii?kumbuken jns gani tulisubl kwa ushlikiano heslb wato majn ya mikopo?mie pia nilipata ila tcu walinitelekeza sua nikakosa usajl nikarud ardh wakanipoke but mpaka leo mkopo wangu upo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
waheshimiwa natafuta field kwa mwakani mwez wa pili nachukuwa Civil engineering;;hivyo hata kama huna uzoefu wowote naomba unitajie kampuni yoyote inayohusika na maswala hayo utakuwa umenisaidia...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Jamani hii nchi yetu sote.Mwalimu alituachia asali na maziwa,mbona watu wachache tu wanafaidi,tuwaeleweje. Inakuwaje nchi tajiri watoto wa makabwera tuumie?Mbona vigogo waliopo kwenye hiyo bodi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"What angle is subtended at your eye by a finger nail 11/4cm long when held 64cm away from your eye?" Tafadhalini naomba muoneshe busara zenu hapa.
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Jamaa ana certificate ya Land Management and Evaluation, je anaweza kutumia cheti hiki kuingia kuchukua digrii katka chuo chochot binafsi hapa Bongoland? Nawasilisha wadau....
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna madogo walikuwa wanaingie 1st year mwaka huu wengine waliahidi kujenga nyumba kwa hela ya boom, kununua mbuzi wa kufuga, kusomesha wadogo zao, n.k. Mbona hamleti ripoti ya hayo yote?? Au hata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nisaidieni on how to find conditions za 3×3 matrix kua na unique solution, infinity many solutions or no solution. Ni hilo tu wadau.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
habari zenu... naomba kuuliza. hivi vyeti vya kidato cha nne huwa vinatoka lini baada ya mtihani. kuna mdogo wangu alimaliza mwaka 2008 je sasa anaweza kupata cheti??
0 Reactions
6 Replies
9K Views
In november 2012,every mzumbe university student had income of 150,000/= per month,facing the price of meal (x) 1000/= and average price of other goods (y) 1000/=.the initial utility maximizing...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
Back
Top Bottom