Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

ndugu, pls tell, inacost like how much kusoma drivn skul?
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Jamani wanaJF mnaolalamika kuwa baraza la mitihani linawaonea mnamaoni gani juu ya hii katuni ya Kipanya?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafta mwalimu (SEKONDARI) wa kubadirishana kutoka NJOMBE MJI kuelekea MBEYA halimashauri ya wilaya ya RUNGWE... kama upo taari basi tuwasiliane or ni Private mail..... Conts...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ni chuo gani hapa Tanzania ambacho atleast kinatoa waandisi bora katika fani zifuatazo ambazo ndio marketable hapa bongo; 1.CIVIL ENGINEERING 2.ELECTRICAL ENGINEERING 3.MECHANICAL...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Don't Bother Earning These Five Degrees If you want to earn a college degree that will impress employers, you might want to avoid these five majors... By Terence Loose Do you want to go...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello wana Jamii, please anyone with the NBAA syllabus(recently one),please advise on this.....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
wapendwa kwa yeyote aliopo halmashaur ya wilaya ya kibaha, anaetaka kuja lushoto,nazungumzia mwalimu tuwasiliane,mimi ni mwl.wa shule ya sekondar jina lushoto,nahtaj kubadilishana na mtu kutoka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi wana jamvi, kuna ka-research kadogo nafanya so naomba mnisaidie kujua vyuo gani duniani (nje ya TZ) vyenye wa-tz (wanafunzi wa ki-tz) wengi, mfano 1.Makerere Uganda 2........... 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF natafuta mahali nitakapoweza kujifunza namna ya kutengeneza sabuni za maji, batiki na sabuni za magadi kwa gharama kidogo. Hivyo kama unafahamu mahali popote kwa dar es salaam...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani habari za asubuhi,nlikuwa naomba kuuliza kwa wale waliosoma accounts,nna swal nlikuwa namfundisha mdogo wangu la investment ,nikakuta kipengere cha ordinary share zimeuzwa,na share...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu wa jamvi naomba msaada, nina mtoto wangu wa miaka 2 nataka nimsajili day care yoyote hapa dar es salaam naomba mnisaidie kunijuza ni day care ipi nzuri na ni english medium na ada yake ni ya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
wana jf hebu nisaidieni kwenye hili je ni kabila gan linaloongoza kuwa na wasomi weng tz pls uclete bayaznes
0 Reactions
80 Replies
22K Views
JAMHURI YAMUUNGANO WA TANZANIA TUMEYA VYUO VIKUU TANZANIA TAARIFA KWA UMMAKUHUSU MGOGORO WA WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI KATIKA CHUO KIKUU KISHIRIKI DAR ESSALAAM CHACHUO...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mipango ya elimu kupitia MMEM na MMES inapangwa vizuri tu lakini wapangaji na wasimamizi hawasomeshi watoto wao katika shule za serkali ambazo ndio zinahusika asilimia mia moja na mipango hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu OPRAS inabidi ijazwe jan na kuipitia june. Mimi sioni mantiki ya kujaza OPRAS za 2012 dec. pls CHECK
0 Reactions
10 Replies
5K Views
habari,mm ni mwanafunzi wa OUT nasoma BA economics kinondoni centre mwaka wa kwanza,kwa yeyote anayesoma uchumi mwaka wa kwanza kinondoni au anapendelea kujisomea hata pale makao makuu naomba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Nafasi hizo,naomba wadau tuchangamke. The Swedish Institute Study Scholarships
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanafunzi wa UDOM tuliorejeshwa chuoni kuendelea na masomo baada ya kusimamishwa kwa muda wa mwaka mmoja tunakufa kwa njaa kwani hatujapewa pesa za kujikimu mpaka sasa,board ya mikopo wanatuambia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
habari ndugu zangu wana jf! mimi ni mwanafunz wa mwaka wa 2 chuo cha Ualimu Mororogoro nasomea masomo ya HE(history na kiingereza) natarajia kuhtimu mwakan mwez wa tano! niliingia katka fan hii...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom