Ukifuatilia tovuti ya chuo kikuu huria cha tanzania utaona kuna jambo la ajabu linaloendelea kwa mpaka sasa kutoonekana majina ya wanachuo watakatunukiwa shahada za udhamili na uzamivu wakati...
Video ya mashine ya kukamua maziwa inayojiendesha yenyewe tangu kumuandaa ng'ombe hadi kiasi cha maziwa yaliyokamuliwa hiko hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
Watu wa bodi ya mikopo chuo kikuu cha Mzumbe wamehesabu wanavyojua wao number of days wanazokaa field wanafunzi wa mwaka wa tatu kwa kuweka siku 106 badala ya siku 120 ambazo ni semester mbili...
25/10/2012
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kitakuwa na mahafali ya 42 tarehe 27 Oktoba 2012 na Novemba 3, 3012.
Jumla ya wahitimu 3,643 watatunukiwa shahada na stashahada wakati wahitimu...
For both BRD takers 1,2 and 3 year i need 2 share with you on issue of futuring of our coz so if you know anything we can share bz im 1year use kiswahili our nation language
hi guys, ningependa kujua toka kwenu kama kuna mtu anajua kutoka kwa majibu ya chuo cha afya sindida pia tarehe za kuripoti pia. asanten sana nitafurah nikijibiwa.
Homa ya mapafu ya mbuzi (HMM) ni ugonjwa hatari wa mbuzi unaosababishwa na Mycoplasma capricolum subspecies capripneumoniae (Mccp). Ugonjwa huu unajidhihirisha kwa dalili zifuatazo; kupumua kwa...
Wakuu salaam sana,ni mara ya kwanza kukanyaga jukwaa hili.
Katika magazeti ya leo kulikuwa na habari kuwa tume ya kuratibu ada kwa shule binafisi itaanza kazi januari,na tume itapanga bei moja...
nimechaguliwa UDOM nimeshafanya na usajili nimelipa na kiasi nachohtaji kuchangia ila nataka niachane na chuo nifanye application tena mwakani je inawezekana? mkopo naweza pewa kwa mara ya pili?
nimechaguliwa UDOM nimeshafanya na usajili nimelipa na kiasi nachohtaji kuchangia ila nataka niachane na chuo mwakani je inawezekana? mkopo naweza pewa kwa mara ya pili?